verse 1
Pokea zangu salamu,
wangu mimi,mwambie ameshakua ,
nahitaji kukua,
kwanza uwe na mume,
utambe na uringe,
nami niwe na mke,
ili nichunge ,mng'aro wa nuru yako,
kama mbalamwezi ,
na uzuri wa macho yako,
kamwe hauna machozi,
(chorus)
lupe lupe lupela ,
lupe lupe , (umeumbwa mama)
lupela ,(lupe uwe wangu)
lupela ,
unapendeza,
lupe lupe lupe,lupela,
eh lupe,(lupe uwe wangu)
we ui ui,lupela x3
unapendeza x2
verse 2
honeymoon, wapi twende visiwani,
ama chini baharini,
au tupae angani,
(lupela),Mi papa siujaji,
na we mama si ujaji,
(lupela) *
wal-adal-baudhi
(chorus)
verse 3
waite ite ,marafiki zako,
waje,lupe,lupe eh,
waje wacheze,ah,
lupe, lupela ,ah
lupe wewe,
lupe,lupela ah
Pokea zangu salamu,
wangu mimi,mwambie ameshakua ,
nahitaji kukua,
kwanza uwe na mume,
utambe na uringe,
nami niwe na mke,
ili nichunge ,mng'aro wa nuru yako,
kama mbalamwezi ,
na uzuri wa macho yako,
kamwe hauna machozi,
(chorus)
lupe lupe lupela ,
lupe lupe , (umeumbwa mama)
lupela ,(lupe uwe wangu)
lupela ,
unapendeza,
lupe lupe lupe,lupela,
eh lupe,(lupe uwe wangu)
we ui ui,lupela x3
unapendeza x2
verse 2
honeymoon, wapi twende visiwani,
ama chini baharini,
au tupae angani,
(lupela),Mi papa siujaji,
na we mama si ujaji,
(lupela) *
wal-adal-baudhi
(chorus)
verse 3
waite ite ,marafiki zako,
waje,lupe,lupe eh,
waje wacheze,ah,
lupe, lupela ,ah
lupe wewe,
lupe,lupela ah
i think the third line of verse one should read "nahitaji kukuoa" which translates to "i need to marry you" not nahitaji kukua.
ReplyDelete