HALLELUYAH LYRICS BY WILLY PAUL X NANDY


Umeninogesha na mapenzi matamu
Umeninogesha baby I got love
Umeninogesha na mapenzi matamu
Umeninogesha baby I can’t deny

[Willy Paul]
Mwana mkunaji
limemkuta pele(ka kololo)
michezo ya Selina
kuchezea na nywele(ka kololo)

[Nandy]
Mwenzako mapenzi yamenizidia
ukiniacha nitakufa nitaning’inia
kwa yak mapenzi nakunywa bia
mi nilewe(ka kololo)

[Hook]
Hallelujha eeh
utasema hallelujah(ka kololo)
Hallelujah eeh
utasema hallelujah(ka kololo)

[Willy Paul]
mi ni fundi mwenye slow motion
matendo yangu slow but kwenye motion
mi ni fundi mwenye slow motion
matendo yangu slow but kwenye motion(ka kololo)
mama nitek eeh
nitekenye nicheke eeh
una-circulati
mpaka mapepo zangu zina vaporeti
hapo juu bebi vibreti
mwenzako chini nifanye kama ground shaker(Ka kololo)

[Nandy]
Eeh bwana mkunaji
limemkuta pele(ka kololo)
michezo ya Selina
kuchezea na nywele(ka kololo)

[Hook]
Hallelujha eeh
utasema hallelujah(ka kololo)
Hallelujah eeh
utasema hallelujah(ka kololo)

[Willy Paul]
mtoto wa Uswahilini(yeah)
nipe mapenzi ya kiswazi
Umeiombea nikakupatia
basi mpenzi iwe siri(ka kololo)
umeiombea nikakupatia
basi mpenzi iwe siri

[Nandy]
mapigo yatapishana(chonde)
usije kuniachana(chonde)
tukatoana maaana(chonde)
yaani wewe(kakololo)

[Hook]
Hallelujha eeh
utasema hallelujah(ka kololo)
Hallelujah eeh
utasema hallelujah(ka kololo)

[Willy Paul]
wala hunaga uoga uoga
navyo ndondosha moja moja
unavyopandaga chuma mboga
yaani wewe(ka kololo)

[Nandy]
mapigo yatapishana(chonde)
usije kuniachana(chonde)
tukatoana maaana(chonde)
yaani wewe(kakololo)
mapigo yatapishana(chonde)
usije kuniachana(chonde)
tukatoana maaana(chonde)
yaani wewe(kakololo)

Ka kololo
Ka kololo
Ka kololo
Ka kololo
Ka kololo

No comments:

Post a Comment