NIPEPEE LYRICS BY MBOSSO

Eh Wallah,
Mungu kanipa nilichomuomba mashallah (rahaaa)
Na wala si shiriki kubatula unanisongaa nalalala
Jamani (rahaaa)
Nitakulinda kwa ku noti
Nittapingana jihadi
Pendo liwe madhubuti
Wassingie waganga
Wapambe viburushuti
Wape chai kwenye jagi
Yetu utamu biskutii
Wasitie mchanga

Penzi letu basikeli kaa bomba la mbele
Dear, unipige mabusuu
niwachome kweli kwelii wenye viherehere
Dear, wakome yaso wahusu
Beby zima feni
Nimeleta kipepeop
Beby zima feni
Nimeleta kipepeo
Zima kiyoyozi
Nimeleta Kipepeo
Zima feni
Nimeleta Kipepeo unipepee

No comments:

Post a Comment