TATTOO LYRICS BY LAVA LAVA


nahisi,nahisi dunia imenihadaa,
nina woga,ibilisi,ibilisi kichwani amenijaa
natamani kukuroga,
kwangu ni siti sina,mengi yamenizidi kina
mengi yanazama ,nani aniokoe
kabisa umekata shina,umenitosa mazima
nimemwaga na mtama
na sijutii mangapi tulifanya gizani

No comments:

Post a Comment