TEJA LYRICS BY LAVALAVA


[Verse 1]
Hhhmmm
Nikutume wapi sasa njiwa
Uende unitafutie kipenda roho
Hhhmmm
Yuuh wapi kama unanisikia
Fanya unisaidie usichikoe ohhh
Tumia wako ujasiri na machachali
Chumvi sukari niwekeeeee
Nenda na ufike mbali
Ukipata hodari usisubiri nilete

[Bridge]
Ila sitaki kunguru mimi ehhh
Akaiba ndani
Kutwa kuzulula mitaaani kula mifupa
Asiyojua penzi nini (eeeh)
Wala shukurani (eeeh)
Chochote anakula hata kile kinachonuka

[Chorus]
Akanifanya nikawaaaa
Teja wa mapenzi
Nikawa mimi
Teja wa mapenzi
Akili ikasinizia ehh
Teja wa mapenzi
Ohhh masikini
Teja wa mapenzi
Moyoni ntaumia ehhh

[Verse 2]
Mama alisema penzi sherehe
Si mabomu ya machozi kutwa kulizana
Na ujana ukiendekeza starehe
Yule mwenye jema penzi utamuona hana maana
Mapenzi sio upinzani ule wa simba na yanga
Tuishi kama vitani kushikiana mapanga
Mapenzi kamari uyapati kwa waganga
Nishapiga sana tunguri nikaishia kutanga tanga
Ndo maaana

[Bridge]
Sitaki kunguru mimi ehhh
Akaiba ndani
Kutwa kuzulula mitaaani kula mifupa
Asiyojua penzi nini (eeeh)
Wala shukurani (eeeh)
Chochote anakula hata kile kinachonuka

[Chorus]
Akanifanya nikawa
Teja wa mapenzi
Nikiwa mimi
Teja wa mapenzi
Akili ikasinizia ehh
Teja wa mapenzi
Ohhh masikini
Teja wa mapenzi
Moyoni ntaumia ehhh

[Outro]
Na moyo akautia pancha
Pancha pancha ehhhh panchaa
Akautoboa
Pancha pancha ehhhh panchaa
Kila kona ukaweka viraka
Pancha pancha ehhhh panchaa
Eeeh onananalilaaaa
Pancha pancha ehhhh panchaa
Badala ya nazi nikapewa kidaka
Pancha (Ahhhhahah) pancha ehhhh panchaa
Ahhhhahah
Pancha pancha ehhhh panchaa
Wasafiiiiii

The Video was Shot and directed by Director Kenny under Zoom Production in Dar es Salaam, Tanzania
Lavalava is signed under (WCB)

No comments:

Post a Comment