TOUCH LYRICS BY QUEEN DARLENE


Basi gusa changu kiuno nami nitulie,
bila mfupa navyokata lazima usimulie,
we kanuka shika hapa na mimi niungulie
kama kuta sema popote mwenzako nikalie,

naitakasa nafsi na roho darling
we ndio yangu habari ,wengine sina habari
umenionjesha asali,
nimewaka ka kibatari,
kandamiza huo msumari,

me napenda ukinishika da eh
unanitouch touch eh
unanimalizaeh
sema nikushike wapi eh x2

kwako nimekuwa zuzu
tena siwezing'atuka,
sijui umenipa juju,
nikikuona napandwa mizuka,
me nasema wazi wazi,
mwenye wake aje amchukue,
nitaamua wali nazi,
nasema vya ndani husisimulie
umeniweka naga,
me ndio wake habuba,
siendi kwa mganga sijawahi kumroga,

naitakasa nafsi na roho darling
we ndio yangu habari ,wengine sina habari
umenionjesha asali,
nimewaka ka kibatari,
kandamiza huo msumari,

me napenda ukinishika da eh
unanitouch touch eh
unanimalizaeh
sema nikushike wapi eh x2

No comments:

Post a Comment