NITAKUFILISI LYRICS BY QUEEN DARLEEN


Hadi sinaga shobo,
wanapenda kunishobokea,
tena sinaga nyodo,
ukinipa mimi napokea,
husijetega kobi,chukua namba tutaongea,
nitageuka moto
ukichacha nakupotezea,

mwanamke anahitaji noti eh,
noti eh
kama huna jua itakucost eh
ata uwe kibabu siogopi eh,
siogopi,

ntakufilis,eh
nitakufilisi
ntakufilis,eh
nitakufilisi

unikonyeze,
husijisongeze,
unikonyeze,
husinifanye kunizimia ukipita njia
unikonyeze
mapesa nitakuchukulia
utaninunia husijisongeze
utaiacha familia kuhihudumia
nikupoteze,
unipe nyumba gari pia

mwanamke anahitaji noti eh,
noti eh
kama huna jua itakucost eh
ata uwe kibabu siogopi eh,
siogopi,

ntakufilis,eh
nitakufilisi
ntakufilis,eh
nitakufilisi

No comments:

Post a Comment