DOWNLOAD NAMBIE MP3 BY CLICKING HERE
mjini kipenzi, sirani shillingi beby
kupendana zamani, ndo wanavosemanga
wazuri ni wengi, ila uongo mwingi beby
wakishaviona vya ndani, basi wanakumwaga
ndo maana ukichelewe dukani, mie kamoyo kananidundaga
nawaza, isije mangi jirani akakuonga kilo ya unga ah
mbaya zaidi sina kazi nakosa senti tano kipande
bora nikuweke wazi yanini nikufiche gambe
tumeumbiwa shida maradhi shida ndo chanzo mpaka wengi wadange,
ah niweke wazi nikipi kinafanya unipende (niambie)
Tell me baby love
(oh basi niambie)
vipi unanipenga ingali sina doo
(niambie)
(oh basi niambie, oh basi niambie (tell me baby love )
usijenitenda ukaniumiza roho
ai, siku izi magari ya wakongo mapesa mara nyumba mbezi
usinichanganya na ubongo nidate kisa mapenzi
nsijekuwekea dumba,
umenipendea rumba
vipi nikija kudunda
ooh ooh
usije mgezea punda
ukaniachia ngunga
uwa nakumaindia chunga
ooh ooh
mbaya zaidi sina kazi nakosa senti tano kipande
bora nikuweke wazi yanini nikufiche gambe
tumeumbiwa shida maradhi shida ndo chanzo mpaka wengi wadange,
ah niweke wazi nikipi kinafanya unipende (niambie)
Tell me baby love
(oh basi niambie)
vipi unanipenga ingali sina doo
(niambie)
(oh basi niambie, oh basi niambie (tell me baby love )
usijenitenda ukaniumiza roho
umenipendea ah X3
pendea
umenipendea ah X3
pendea
No comments:
Post a Comment