MFUKO LYRICS BY SALAMU TMK


We mama wakufikia husimzalishe baba,x2
Kiatu kimefumuka kimefumuka fungu fumux2
We mama mdogo mwonee huruma baba,
Unataka babucha (eh babucha)
We mama mdogo mwonee huruma baba,
Kila zuri analofanya baba mama unapiga,
Yote ya dunia sote tunapita,

We kenua eh eh eh eh 
We kenua oh oh oh o
(We kenuax2)
 dawa yako inachemka,x2

unapenda mfuko kuliko mapenzi ya ndani ya moyo
unajifanya huoni hadi nirudi mpaka moyox2

ai yo yo x2 naendea msaada mie
ai yo yo x2 nikavunje ngazi mie 
ai yo yo x2 naenda kwa baba mie 
ai yo yo x2 nikavunje ngazi mie 

mhn,ningependa we ujue ,hii dunia ina mwisho,
ukipenda upende kweli husiwe unapenda mfuko
tena ukae utambue,kila mtu ana moyo na roho
unavyofanya si vizuri mtu mzima wewe ,

baba we x2 wanao tumeshaona,
we baba x2 mwenzako atakuua x2

nakonda kama pundamilia,nachapwa naishia kulia,
bila sababu nanyimwa chakula ,baba unaangalia
mama wa kambo anapika kama mgambo,ah ah,
(pili jina langu linafifia,oh oh ,
mama ananiita kinyoka mdimu)x2

anatamba kwa rafiki zake,
anasema ye gusa unase,eh eh 
na kuna mengi anaongea,
umri wako anaujua anasema anafuata uridhi,
eh baba wanao sisi tunaonewa
umri wako anaujua anasema anafuata uridhi,
eh mama wa kambo,

unapenda mfuko kuliko mapenzi ya ndani ya moyo
unajifanya huoni hadi nirudi tena mpaka mwanzo

unapenda mfuko,unajifanya huonix2 





 
 
  
 
 








 
  
 

No comments:

Post a Comment