NIROGE LYRICS BY VANESSA MDEE


 verse 1
mh ,furahia nyuma mwanaume,
wacha nikutunze, nyumba yetu tuipambe,
eh hapo nyuma tukishidiaga mabwede,
karanga na makade,duruda ugali dona sembe,

 (chorus)
husinune kwa maneno ya majira ni wadogo,
hawaishi dogo dogo, ni maneno kama viroboto,
wanakesha wakiomba unichapage mkong'oto
jameni mi sielewi baby you are,
ukimwona furaha tele moyoni,
nikimwona tabasamu usoni,

naomba uniroge x3
(kwani mapenzi matamu)
naomba uniroge x3

 verse 2
siku hizi ,we mwana umeguzwa ,
ulishinda na vikwazo ,tangu mwanzo,
ilipambana nawe hela uwe nazo ili niwe mali yako,
leo kula vyako, you are my dream, in my life,
ata me moyoni we ndio unanifaa,

(chorus)

to te left side to the right,
(my love),kwani mapenzi matamu x2

(chorus)

 to te left side to the right,








 

No comments:

Post a Comment