Verse1
Oneni
mboni zinaumia ,
Kuna
mengi, yanayonikwaza,
Nalalamika
ndani,huku nalia,
japo usoni,Mi nachekaga,
nasikia
mapenzi, kikohozi,
mwambieni
nakonda na tb,
alma
nusura uzima, nisije kata kauli,
na
kumwacha siwezi ,kwa mtima kashakuwa nguli,
kanifinyaga
mazima, penzi limebaki kivuli,
japo
pombe nakunywa cha ajabu silewi,
zinazidisha
mawazo,kiamungu sielewi,
mwezenu
pombe nakunywa cha ajabu silewi,
zinazidisha
mawazo,mawazo ooh,
nami
naimani nawe,
naimani
na,
naimani,
we
ndo mtuliza mawazo
mi
naimani nawe,
naimani
na,
naimani,
we
ndo mtuliza mawazox2
si
akilanga penzi si nguo,kuazima na haramu,
na
ikibidi mueleze, nimeshafundwa chunga
chungiro,
kinachokupa
utamu,ndio kitakupa mawenu ,
napepesa
macho, ili ning’amue lolote,
mapenzi
ni utundu, anaeza akaachwa yeyote
kuonja
sio now ,me njonjo sina,
ukweli
unayempenda ndio anauma
(chorus)
Mwezenu
kauli mi sina,lakini ikizidi nazima,
(Mama
we) nashindwa kusema,(mama we)
Ikibidi
umwambie ,kanikoleza mazima (mama we)
Hakuna
alichoninyima (mama we),
Amenitema
mapema , (mama we),ikibidi umwambie
Kesho
naamka na bima (mama we),
Kanituliza
mtima (mama we),
Nimpe
lunch na dinner (mama we),
Ikibidi
umwambie eeh
(mama
we)x3,ikibidi umwambie eeh
No comments:
Post a Comment