(Chorus)
Bwana ni mwokozi wangu,
Tena ni kiongozi wangu,
ananipenda leo kuliko jana
Baraka zake hazikwishi,
si kama binadamu habadiliki,
ananipenda leo kuliko jana,
kuliko jana x2 ,yesu nipende,
leo kuliko jana x2
verse1
nakuomba mungu,uwasamehe,
wangalijua jinsi unavyonipenda mimi wasingenisema
na maadui wangu,nawaombea,
maisha marefu wazidi kukuona ukinibariki,
ujue binadamu,ni watu wa ajabu sana,
walimkana yesu mara tatu kabla jogoo kuwika,
ujue binadamu,ni watu wa ajabu sana,
walimsulubisha yesu masiah,
bila kusita
(chorus)
Verse2
Wewe ndio natengemea,
kufa kupona baba nakutengemea,
Chochote kitanikazia,
kuingia mbinguni utaniondolea x4
verse3
na bwana ni mwokozi wangu (amen)
na tena ni mkombozi wangu, (amen)
eeh ananipenda leo kuliko jana, (amen)
Baraka zake hazikwishi, (amen)
Si kama binadamu habadiliki, (amen)
Ananipenda, leo kuliko jana, (amen)
Kuiliko jana(kuliko jana )x2
Yesu nipende leo kuliko janax2
Repeat Verse2
Repeat Verse3
No comments:
Post a Comment