NYANG'ANYANG'A LYRICS BY ASLAY


Ai yooo Ooh yeah
Ooh yeah wewe
 Wewe Baby pole pole,
Usije nitesa nafsi
Kuku nipe mchele, mahindi ngedele
Usije niacha basi Mmmh, mpaka majogoo,
Kitandani ni mafunzo ya ki Commando
Nipe mama nipe nyumba na choo
Hongera umevua pekee bila chambo
Wanapata taabu wanavyoona tunapendana
tunawapa adhabu mpaka maji
wanaikama mama ma
Umeniweza nyang'anyang'a (aiyo)

Nyang'anyang'a beiby ooh
Sijateleza nyang'anyang'a (wouwo)
Mi kwako nyang'anyang'a (mpenzi njoo)
Umeniweza nyang'anyang'a (aiyo)
Nyang'anyang'a beiby ooh
Sijateleza nyang'anyang'a (aah)
Mi kwako nyang'anyang'a
Sasambu sasambua

Ukimaliza kupika kazi yangu kupakua
Ukimaliza kufua kazi yangu kukamua
Ukitaka muwa, naumenya nakugea unakula
Oooh, uchungu wangu unaujua wewe
Uchungu wako naujuwaga mimi mwenyewe
Pilika pilika za kuku na mwewe
Adui ndo inazo walazi wasitusumbue
Wanapata taabu wanavyoona tunapendana
tunawapa adhabu mpaka maji
wanaikama mama ma
Umeniweza nyang'anyang'a (aiyo)
Nyang'anyang'a beiby ooh
Sijateleza nyang'anyang'a (wouwo)

Mi kwako nyang'anyang'a (mpenzi njoo)
Umeniweza nyang'anyang'a (aiyo)
Nyang'anyang'a beiby ooh
Sijateleza nyang'anyang'a (aah)
Mi kwako nyang'anyang'a
Nakupa yote, Chukua Chukua
Chukua Yote Yako , Chukua Chukua
Chukua Peke Yako, Chukua Chukua Chukua
Umeniweza nyang'anyang'a (aiyo)
Nyang'anyang'a beiby ooh
Sijateleza nyang'anyang'a (wouwo)
Mi kwako nyang'anyang'a (mpenzi njoo)
Umeniweza nyang'anyang'a (aiyo)
Nyang'anyang'a beiby ooh
Sijateleza nyang'anyang'a (aah)
Mi kwako nyang'anyang'a

No comments:

Post a Comment