NI WEWE LYRICS BY OMMY DIMPOZ
ooh nah nah nah
ooh yeahh
sultan 001
nah nah nah naah yeah
ningeacha pengo ,ila ni wako upendo
umenipa nuru,umenitoa gizani
sina maelezo ,nimeishiwa uwezo
namwomba aliye juu,anitoe kitandani
nikawazaje ?ingekuwaje
maisha yangu na familia ningeondoka
nikawazaje ngekuwaje yeah yeah
shabiki zangu ndoto zangu zingezimika
oooh yeah ,baba ni wewe
ooh baba yangu baba ni wewe
ooh mungu wangu ,baba ni wewe
ooh mola baba eeh , baba ni wewe
ooh naona miujiza
siamini moyo ndo najiuliza ,ni mimi
wale nilo waliza
kwa dua zao wakasimama na mimi
nikawazaje ingekuwaje
maisha yangu na familia ningeondoka
nikawazaje ngekuwaje yeah yeah
shabiki zangu ndoto zangu zingezimika
oooh yeah ,baba ni wewe
ooh baba yangu baba ni wewe
ooh mungu wangu ,baba ni wewe
ooh mola baba eeh , baba ni wewe
hakuna kama wewe ,mola baba
hakuna kama wewe ,mola baba
alpha na omega yeye yeah
nah nah nah nah nah
baba ni wewe ,baba wewe ye yeyeah
baba ni wewe ,baba wewe ye yeyeah
baba ni wewe ,baba wewe ye yeyeah
baba ni wewe ,baba wewe ye yeyeah
Maneno ya ommy kutokana na huu wimbo
"Mitihani, maumivu, huzuni na maombi ndio vitu vilivyotawala maisha yangu miezi 12 iliyopita. 3 Life threatening surgeries, ila leo bado nimesimama Alhamdulillah.
Namshukuru Allah na wote tuliokuwa pamoja katika mapito yangu, sasa nimepata nafuu na nimeanza kurejea kazini taratibu.
After a year of hardship and going through 3 surgeries, Ommy Dimpoz has returned to the music scene with 'Ni Wewe" Rockstar Africa presents Ommy Dimpoz Ni Wewe, a song to thank his fans, family and friends but most of all "Our almighty Lord" who has protected him throughout his sickness to his well being.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
-
Where to go I do not know Looking for answers why I do not know You are no longer listening You are no longer interested You are ...
-
Ekoti te ( you missed the shot). Dj Mopao frontiere ya liwa, kanga foto (Dj Mopao the border of death, take a photo) Tutu Roba Ve...
-
Be ka ntsentxa toronkong (it can land me in jail) bjala (alcohol) Be ka ntsentxa toronkong (it can land me in jail) bjala (alcohol...
No comments:
Post a Comment