KWATU LYRICS BY ASLAY

Mmwaaah mmwaaah mmwaaah
 Baby mi na we nganganga
Usije ukaenda kwa mgaga
Dj ebu piga charanga tuchezee
Wanauliza maswali
Tuwajibu kwa vitendo
Waambieee wajue Mi kwako nishatia nangaaa
Fumba macho usije danga Utaniumiza roho
Nikila korosho Kula karanga, tuzimeze ooh
Usiniache nitatangatanga Yatima ooh
Unionyeshe alokufunza nyakanga Kitandani njoo
Nimeona wengi sana
Wazuri sana
Ila kwako nimekwama Sijatereza kukuchagua
Nichochee, nichochee
Kama moto unichochee

Kwatu
Roho yangu kwatuu
Kua na wewe
Kwatu kwatu kwatu
Roho yangu kwatu
Roho yangu kwatu
Kua na wewe
Kwatu kwatu kwatu
Roho yangu

Ukiwa mbali mwili wote unapooza
Nahisi kama nimekufa na tayari nishaoza
Chai sukari
Mupenzi hebu koleza
Usije ukakurupuka ukajaniacha kwa jeneza
Familia yangu iko polisi inakutafuta wewe
Nasikia unabonge la kesi la kuniteka mie
oooh loo loo loooh La kuniteka mie eeh eeh eehk
aaah aaah aaaah aaaaaaaakh
Wambie wajue Mi kwako nishatia nangaa
Nimeona wengi sana
Wazuri sana
Ila kwako nimekwama Sijatereza kukuchagua
Nichochee, nichochee
Kama moto unichochee
Vunja mifupa kama meno ipooo
 Kwatu
Roho yangu kwatuu
Kua na wewe
Kwatu kwatu kwatu
Roho yangu kwatu
Roho yangu kwatu
Kua na wewe
Kwatu kwatu kwatu
Roho yangu
Nikishika kiuno
Unishika mabega ayayaaah
Unavonigusa kokote mwenzako naregea ayayaaaaaah
Baby humo humo Uliponishikia ayayaaaayaah
Uking'olewa meno Mwenzako navimba mdomo pia ayayayaaayaah
waambie wajue mi kwako nishatia nangaaaa

No comments:

Post a Comment