ATARUDI LYRICS BY HARMONIZE
Mmmmh Naye ni mwanadamu
Na Dunia tunapitaa
Kama kupata kwa zamu ooh zamu
Yangu itafikaaa Siwezi kana damu
Kesho wataja nizika Ila ningependa afahamu
Haya mateso alonipaa mmmh
Tena mwambieni
Aloninyima mimi,
Ndo kampa yeyeee
Kupata foreni, nasubiri yangu mimi
Hata icheleweee ooh ohh ohh
Sina furaha naigiza
Ili mladi watoto wasijihisi vibayaa
Huyu mdogo anauliza eti dady,
mama ameihama kaya,
Chakujibu sina nabaki tu kusema
Aaaaaatarudi Atarudi mama,
Aaaaaatarudi Anawapenda sana,
Aaaaaatarudi Atawaletea zawadi,
Aaaaaatarudi Atarudi mama,
Aaaaaatarudi Atarudi mama,
Aaaaaatarudi Anawapenda sana,
Aaaaaatarudi Atawaletea zawadi,
Aaaaaatarudi
Siwezi sema sijui tatizo
Hali yangu duni imefanya ukanikimbiaaa
Ni vyema ungefanya maigizo
Mara kumi usinge nizaliaa mmmmmmh ingali mapenz pekee
Ningesema ni changamoto nijifunzee
Ameniacha mpwekee
Na watoto niwatunze eeeeh!
ila siwezi mraumu (aaaaah)
Uenda yupo sawaa (aaaaaah)
Kipato changu kigumu (aaaaah)
Kutwa bumunda na kahawa aaaaah
eeeeh! ila mwambieni
Aloninyima mimi,
Ndo kampa yeyeee
Kupata foreni, nasubiri yangu mimi
Hata icheleweee ooh ohh ooooh sina furaha
naigiza ili mladi watoto wasijihisi vibaya
Huyu mdogo anauliza eti dady,
mama ameihama kaya,
Chakujibu sina nabaki tu kusema
Aaaàaatarudi Atarudi mama,
Aaaaaatarudi Anawapenda sana,
Aaaaaatarudi Atawaletea zawadi,
Aaaaaatarudi Atarudi mama,
Aaaaaatarudi Atarudi mama,
Aaaaaatarudi Anawapenda sana,
Aaaaaatarudi Atawaletea zawadi,
Aaaaaatarudi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
-
Where to go I do not know Looking for answers why I do not know You are no longer listening You are no longer interested You are ...
-
Ekoti te ( you missed the shot). Dj Mopao frontiere ya liwa, kanga foto (Dj Mopao the border of death, take a photo) Tutu Roba Ve...
-
Be ka ntsentxa toronkong (it can land me in jail) bjala (alcohol) Be ka ntsentxa toronkong (it can land me in jail) bjala (alcohol...
No comments:
Post a Comment