CHOMBO LYRICS BY RAYVANNY


Intro:

Ololololo lololoo

Verse 1:
Foundation wanja
Nywele ya bei yakiwanja
Ndinga mkwanja
Shoping mwendo wakuchanja
Sponser danga
Chuna komesha viranga
Basi vimba tamba
Ulooo wakikuchambaa

Bridge:

Ooh lalalaaa
cheusi mangala wakanda
Ooh lalalaaa
Tukale sangara wamwanza
Ooh lalalaaa
Nyewele chotara kinanda
Ooh lalalaaa
Mototo papara msamba
Ooh lalalaaa

Chorus:

Chombo x3
Kanakwenda na fashion
Chombo x3
Kanangozi ya rosheni
Chombo x3
Mechi chumbani sebreni
Chombo x3
Ntakapeleka ukweni

Verse2:

mcho yako nalewa mimie
mzigo mkalia nyongo
pekecha pekecha ulindi ulimbombo

miniwako ninganganie
kama mbozi nakimondo
nogesha nogesha
pegele na kamongo
oh baby baby mwenzako nitadedi
hizo fujo chumbani betuka binuka

Bridge:

Ooh lalalaaa
cheusi mangala wakanda
Ooh lalalaaa
Tukale sangara wamwanza
Ooh lalalaaa
Nyewele chotara kinanda
Ooh lalalaaa
Mototo papara msamba
Ooh lalalaaa

Chorus:

Chombo x3
Kanakwenda na fashion
Chombo x3
Kanangozi ya rosheni
Chombo x3
Mechi chumbani sebreni
Chombo x3
Ntakapeleka ukweni

Initial:

Ololololo lololoo

No comments:

Post a Comment