POCHI NENE LYRICS BY RAYVANNY FT. S2KIZZY


Pochi nene pochi nene
wakizingua si tunakata umeme
nasema pochi nene pochi nene
siku hizi mjini misingi pesa sio masebene

Pochi nene pochi nene(yeah yeah)
wakizingua si tunakata umeme
nasema pochi nene pochi nene
siku hizi mjini misingi pesa sio masebene

vanny boy
pochi nene baada ya kuhustle
maana haituni bila ya kumwaga jasho
pochi nene mlinde demu wako
vocha nayo muonga sawa
na bei ya sim yako
i got love for my people sina kwele
i believe in God
baraka tele
mchawi karoge usifike mbele
mi napanda ndege
we kapande tembere

ping-wei-hai-shi
hadi najua na kichina (master)
puetro rico mama sita karia shina
al-ahabib omar bin hafidh
mzee wa vina dubai mafuta
mimi namiliki visima

Pochi nene pochi nene
wakizingua si tunakata umeme
nasema pochi nene pochi nene
siku hizi mjini misingi pesa sio masebene

Pochi nene pochi nene(yeah yeah)
wakizingua si tunakata umeme
nasema pochi nene pochi nene
siku hizi mjini misingi pesa sio masebene

pochi nene
inanukia mapene (yeah)
dada sikunyimi ka ukitaka useme
pochi nene,tunda lazima nimenye
ama nikifulia basi na wewe niteme

nishakesha ka bundi bundi
nishapigwa na vumbi vumbi(vumbi)
mara kondakta
mara machiga fundi fundi (yeah)
sa pesa ka kumbi kumbi
vishungi mitungi tungi
leo hanifa kesho hanita kundi kundi
husiseme we una mikosi
omba mungu mabo yawe kitu na box
na mwana umesugua choki
toka kijakazi mpaka nakua boss

walishanitesa mashosti
hata busu nililitafuta kwa tochi
kumbe dawa ya mpenzi ni noti
sasa nachagua mimi kwenye bedi au kochi

ping-wei-hai-shi
hadi najua na kichina (master)
puetro rico mama sita karia shina
al-ahabib omar bin hafidh
mzee wa vina dubai mafuta
mimi namiliki visima

Pochi nene pochi nene
wakizingua si tunakata umeme
nasema pochi nene pochi nene
siku hizi mjini misingi pesa sio masebene

Pochi nene pochi nene(yeah yeah)
wakizingua si tunakata umeme
nasema pochi nene pochi nene
siku hizi mjini misingi pesa sio masebene

No comments:

Post a Comment