MVUMO WA RADI LYRICS BY ALI KIBA


Naanza naye,sifa yangu mkweli
misifa mingi na ukwezi,mi sina makuzi
ntakupenda wewe ntampenda mama
na baba yako na ndugu zako ntakupa mapenzi mimi

wamvungule mvungule ,hujawahi pewa
wamvungule mvungule
nataka wasikie
wamvungule mvungule
kwa mvumo wa radii

tatizo lako sheri ,unanistaajabishaga
unavyonipendaga kweli,
roho inaniuma
wivu naona mi naumia
i'm in love wewe,nampenda sana

tupendane tupendane
penzi liwe sawa sawa
lisiwe nusu na haba kwa kilo
penzi robo mengine yaende kule
nataka yote mapenzi kwa kilo anha
tupendane kama mabata na mamba
na siku zote tuishi kwa furaha

tupendane ba kongo,tanzania
uganda kenya,burundi na rwanda
na zambia mpaka mozambique
ghana mpaka nigeria,cameroon
sudan mpaka somalia
africa africa nzima tupendane

tupendane tupendane
penzi liwe sawa sawa
lisiwe nusu na haba kwa kilo
penzi robo mengine yaende kule
nataka yote mapenzi kwa kilo anha
tupendane kama mabata na mamba
na siku zote tuishi kwa furaha
tuishi kwa furaha
tupendane uwe wangu wa moyoni

ukisikia homa ile
homa la jiji ni wewe
wanajiita ma sponsor my love
wasikuzingue
wanajiona ma bosslasy
maboss baby
tena wife material my huneybunny
i never knew we unabana
wengine wote wanaachia yaah

wamvungule mvungule ,
wamvungule mvungule
ntakupa mapenzi mimi

tupendane tupendane
penzi liwe sawa sawa
lisiwe nusu na haba kwa kilo
penzi robo mengine yaende kule
nataka yote mapenzi kwa kilo anha
tupendane kama mabata na mamba
na siku zote tuishi kwa furaha
tuishi kwa furaha

No comments:

Post a Comment