PICHA YAKE LYRICS BY MBOSSO


Hee!! hee!!
la la aah aaah
naishi naisha
hata sura inakosa nuru
napuputika
mnyonge mwoga mi kunguru
namridhisha
na wa mwisho kwenye musururu
penzi la kujificha
mbele za watu haiko huru

sili nikashiba
mwanga ndani nje giza
kanipa ratiba
tamu yangu kila jumapili
moyoni mwiba
nahema kwa shida
penzi msiba
lina niliza mimi yeeh

siku nikifa
nizikwe na picha yake yeye
yee!le!Le!le!
naimani nitakutana na yeye
aaaa!-aaa!aa!a!
siku nikifa
nizikwe na picha yake yeye
yee!le!Le!le!
naimani huko
tutakuwa wenyewe
lalala

la la la la
woo wo wo
la la la la
uuu uu uu u
la la la la
iye iye iyee le le
la la la la

silali baridi
usiku natetemeka
na mbaya zaidi
rafiki wananicheka
silali baridi ye ye
usiku natetemeka
mi najitahidi
ila siishi kusononeka
mmh eh

ona mawingu
yamepambwa kwa rangi nzuri
sio mimi wala wewe
ni mungu mwenyewe
akaumba jua na mbingu
na mapenzi kama kivuli
tujifiche mi nawe
sa mbona unaniacha mwenyewe

wahenga walisha sema
ukipewa ukilema
unapewa na mwendo
ila kwangu si neema
yani sisimizi
kumuua tembo
ooh chanda chema
limebaki neno
hakuna mapendo
nilipolenga nimedema
moyo umekosa malengo
mama oh oh

siku nikifa
nizikwe na picha yake yeye
yee!le!Le!le!
naimani nitakutana na yeye
aaaa!-aaa!aa!a!
siku nikifa
nizikwe na picha yake yeye
yee!le!Le!le!
naimani huko
tutakuwa wenyewe
lalala

la la la la
woo wo wo
la la la la
uuu uu uu u
la la la la
iye iye iyee le le
la la la la

silali baridi
usiku natetemeka
na mbaya zaidi
rafiki wananicheka
silali baridi ye ye
usiku natetemeka
mi najitahidi
ila siishi kusononeka

No comments:

Post a Comment