KWANGWARU LYRICS BY HARMONIZE FT. DIAMOND PLATNUMZ


(verse 1)
mmmhh
i wish ningekuwaga na mavumba
mkwanja manoti
nikubonge vya thamani
ama niwe fundi wa kuigiza ka kanumba
masanja joti usiwe mabali nami
hhhmmm
my darling i need your love
uwe nami haki ya mungu nakupenda
nobody can show you love
usiwamini nishawapa wanakwenda

(bridge harmonize)
ooh basi jilegeze
nikubebe mgongoni (iyelewi)
deka nikudekeze nikutunze kama mboni
(iyelewi)
wakija wapoteze jifanye kama huawoni
 (iyelewi)
kisha uniongeze ulivyofunzwa unyangoni
(iyelewi)

(chorus:harmonize)
ooh baby
asa dance nikuone
(kwa ngwaru)
wabanijoo(kwa ngwaru)
ooh baby
asa cheza nikuone
(kwa ngwaru)
wabanijoo (kws ngwaru)
basi cheza na mimi (kwa ngwaru)

(verse 2 diamond platnumz)
aah
moyo wangu wa muarobaini
mchungu ukiuziwa
samehe mara sabini
huo uzungu sijawahi elewa
ungependa juu ama chini
kwenye uvungu uparemiwa
nkumbatie baridini

kwenye tundu kama njiwa
moyo wangu mie wa makuti
usinijie na kibiriti(hasa weee)
nipatie vya kitandani
nipe mpaka kwenye kiti (hasa wee)
ila hasiniingie shetani
nawe nikaja kukucheat

(bridge:Diamond platnumz)
oh basi jilegeze
nikubebe mgongoni (iyelewi)
kitandani nikoleze
kwa miuno ya kingoni (iyelewi)
kisha nibembeleze
nirudishe utotoni (iyelewi)
weka mate niteleze
kama nyoka pangoni (iyelewi)

No comments:

Post a Comment