KIZUNGU ZUNGU LYRICS BY LAVALAVA


Kwenye simu zimebaki picha na mesagi zako
huwa napita pita kwenye pegi zako nasomanga
sikufichi bado nina number yako
mwenzako namiss viemoji vyako na kuvumba macho
huwa nakuona tu walahi
unachati huishiwi bando
nitexti tu niwe fine ziniondokee fikira
kwenye group ya watsap we ndio bingwa wa story
tena kujibu kwa shavu uko nyuma nyuma toroli
eh na ushapewa one minute useti mipango ah
kidhiki hapati mjini mshika mipango
hivi hunitaki kwa nini au sina jambo
number yako kwa simu imebaki pambo
nifikirie maana

oh mwenzako hayaniishi mawazo
oh najiuliza hivi nini chanzo
oh mwenzako hayaniishi mawazo
bana kizungu zungu kizungu zungu,
kizungu zungu
yani kizungu zungu ,kizungu zungu
kizungu zungu
naona kizungu zungu ,kizungu zungu

mmmh sijui ,
nimwamini nani kwenye safari ya penzi langu
nimkabidhi usukani akawe dereva wangu
eh maana majanga ,nalilia kisicho changu
kwenye nyumba niliopanga nadaiwa kodi wenzangu
pakacha pakacha anavochezesha moyo wangu
akikohoa nabacha maradhi yake ndio yangu
napenda anavyotabika na kusikitika najibwaga tu
machozi kubumbujika mi nadharirika ananiona vyatu

oh mwenzako hayaniishi mawazo
oh najiuliza hivi nini chanzo
oh mwenzako hayaniishi mawazo
bana kizungu zungu kizungu zungu,
kizungu zungu
yani kizungu zungu ,kizungu zungu
kizungu zungu
naona kizungu zungu ,kizungu zungu

No comments:

Post a Comment