TEMPTED LYRICS BY WILLY PAUL
Mmmh nananah
mmmnnh nanananaah
nilikuwa tempted tempted kuparty sana
(sawa)
tempted tempted na wasichana
(sawa)
so tempted tempted temptation nimeshinda
(sawa)
tempte te te te te
tempted
tempted
aaih aaah aih
napenda raha but hiyo ni balaa
wily paul ni kijana bomba
ibilisi amejaribu kuniweka chini
na fatuma
napenda raha but hiyo ni balaa
wily paul ni kijana machachari
ibilisi amejaribu kuniweka chini
nimemshinda
from what i know
ata hudda na vera hawaniwezi no
and i know the way you are falling down
it doesnt matter how many time you have fallen down
ninajua ananipenda aah
ananipendaa ahh
nilikuwa tempted tempted kuparty sana
(sawa)
tempted tempted na wasichana
(sawa)
so tempted tempted temptation nimeshinda
(sawa)
tempte te te te te
tempted
tempted
aaih aaah aih
temptaions zote ziko chini kwa chini
chini kwa chini zote ziko chini kwa chini
mapepo wote wako chini kwa chini
chini kwa chini yote chini kwa chini
madawa zote ziko chini kwa chini
chini kwa chini yote chini kwa chini
uchawi wote uko chini kwa chini
chini kwa chini yote chini kwa chini
okay stop ngoja kidogo,
ona mvuta bangi yule ameokoka
okay stop ngoja kidogo,
wavuta bangi wale ameokoka
ata hudda na vera hawaniwezi no
nilikuwa tempted tempted kuparty sana
(sawa)
tempted tempted na wasichana
(sawa)
so tempted tempted temptation nimeshinda
(sawa)
tempte te te te te
tempted
tempted
aaih aaah aih
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
-
Where to go I do not know Looking for answers why I do not know You are no longer listening You are no longer interested You are ...
-
Ekoti te ( you missed the shot). Dj Mopao frontiere ya liwa, kanga foto (Dj Mopao the border of death, take a photo) Tutu Roba Ve...
-
Be ka ntsentxa toronkong (it can land me in jail) bjala (alcohol) Be ka ntsentxa toronkong (it can land me in jail) bjala (alcohol...
No comments:
Post a Comment