SINGLE LYRICS BY ABDU KIBA FT. ALI KIBA


Si ula anaumia single
anaonewa ,
single yo
single yo
sina nguvu uh
katanifunga kamba kwenye reli
sina jinsi anajua bado ni tapeli
ila hajui tu mazoea yana shida yake
na kila kitu sababu ni yeye yeye
nilikuwa nalewa (single)
na raha ,(single)
nilikuwa nagawa pesa nyingi sana
nilikuwa nalewa (single) ,nalala (single)
nilikuwa nagawa pesa nyingi sana

single analia ,(single) anaumia (single)
single naonewa,single yo yoyo
single analia ,(single) anaumia (single)
single naonewa,single yo yoyo

hakuna mtu anapenda penzi la kejeli
na kila siku nilale huruma nafeli
na unajisifu,ulinikamata kweli kweli
mtakatifu umeumbwa kupendwa wewe
nilikuwa na raha sasa karaha sana
nilikuwa mtumwa
sababu ni wewe wewe

single analia ,(single) anaumia (single)
single naonewa,single yo yoyo
 single analia ,(single) anaumia (single)
single naonewa,single yo yoyo

single analala,single analalamika
anaumia sana oh

No comments:

Post a Comment