PAMBE LYRICS BY CHRISTIAN BELLA


nanyoosha mikono yangu juu
naomba unisamehe
nishushie presha yangu juu
amani iendelee
tofauti kati yetu me na wewe ndio tuzitatue
tukisumbuana tutawapa nafasi wapumue
wabaki wakibabangabya wakiropoka
sisi tuchape lapa
unituze mama makopa kopa
tuwatoe kapa
tusiachane mbali baby
tushikane me na wewe ulimbo
ili basi dereva awe ndio wewe
me ndio utingo

pambe, pambena
pambe, pambena x4

tujisatiti,tusiwape kiki
watumie nyota zetu kutembelea
husiwape lift ata wakichimba kukugongea
wapige kelele siwasikii
lopolopolila
midomo yao kama honi wakiongea wanapuliza

wabaki wakibabangabya wakiropoka
sisi tuchape lapa
unituze mama makopa kopa
tuwatoe kapa
tusiachane mbali baby
tushikane me na wewe ulimbo
ili basi dereva awe ndio wewe
me ndio utingo

pambe, pambena
pambe, pambena x4

No comments:

Post a Comment