HAUNA LYRICS BY ASLAY


Ilikuwa inakuumaga ukiniona naye
ilikuwa inakuchomaga mwanaume wewe
ulitamani wewe ndio uwage mie
ndio maana nilipomuacha ukaamua umuoe

we hauna ,we hauna
hauna moyo kabisa
hauna ,we hauna ,we hauna,
ulumagiki ata kulika
hauna wewe

alipopika chakula ulikuwa jikoni
sikujua ni kwa nini,
nilijua ushemeji tu,
kumbe kule mlikuwa mnayapanga ya kwenu
nyinyi mpaka umemteka
umekuwa gaidi juu

nimekubali ,nimekubali ,nimekubali
nitamwita shemeji oh
nimekubali ,nimekubali ,nimekubali
nitamwita shemeji
ah shemeji,eeh shemeji ,eh shemeji eeh
kila upande shemeji eeh
shemeji shemeji eeh
kishingo upande

mara oh tunaendana unaomba tusije kuachana eti,
unatupendaga sana kumbe we nichora ,
kumbe we nyuki,
mwenye laana kaniacha
manundu ya mchana nilivyobeep
kapiga tu mapema ukasepa na sinyora
oh mama sira umemvisha na shela
we mbona ni mbaya oh
ni mbaya sjui ulimpa dawa
au ndio hela ila yote sawa mi
nasema inshallah mungu atalipa ah

alipopika chakula ulikuwa jikoni
sikujua ni kwa nini,
nilijua ushemeji tu,
kumbe kule mlikuwa mnayapanga ya kwenu
nyinyi mpaka umemteka
umekuwa gaidi juu

nimekubali ,nimekubali ,nimekubali
nitamwita shemeji oh
nimekubali ,nimekubali ,nimekubali
nitamwita shemeji
ah shemeji,eeh shemeji ,eh shemeji eeh
kila upande shemeji eeh
shemeji shemeji eeh
kishingo upande

No comments:

Post a Comment