WEMA SEPETU ATAJWA KUHUSUKA NA DAWA ZA KULEVYA
Atajwa Kuhusika Na Dawa Za Kulevya >>>>>
Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu,
ametajwa kuwa ni kati ya wasanii ambao wanatumia dawa za kulevya,
hivyo anapaswa kesho kukutana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,
Mhe. Paul Makonda katika kituo cha polisi.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaama amewataja wasanii wengine akiwepo
TID, Chid Benz, pamoja na Recho na kusema anahitaji kesho wafike makao makuu ya kituo cha polisi.
"Naomba tukutane kesho pale polisi Central akiwepo TID,
akiwemo Wema Sepetu, wakiwepo wakina Junior Sniper,
wakina Ditto, Titoo, kuna Ally Denya, kuna wakina Chacha,
kuna kina Mecky wengine hawa wakina Petit Man tayari nishawatia mikononi mwa sheria,
kuna watu kama kina Recho, Chid Benz
wote hawa nawahitaji ni vijana wenzangu nafikiri tutaelewana vizuri"
alisema Paul Makonda.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
-
Where to go I do not know Looking for answers why I do not know You are no longer listening You are no longer interested You are ...
-
Ekoti te ( you missed the shot). Dj Mopao frontiere ya liwa, kanga foto (Dj Mopao the border of death, take a photo) Tutu Roba Ve...
-
kuthi hhuu! [feel pressure of the Air (Spirit)] Zonke ezam Xa zibuya uzozibona [When My squad returns you’ll see] Banomoya. [They a...
No comments:
Post a Comment