Aaaah,maskini moyo wangu uh,unaniuma sana,
maskini nafsi yangu uh,inahuzunika,
wewe ndio daktari wangu ,wa kutibu maradhi yangu,
nami ndani naumia,
wewe ndio daktari wangu ,wa kutibu maradhi yangu,
nia yao,waharibu pendo, nia yao wazamishe pendo,
nia yao,waharibu pendo, nia yao wazamishe pendo,
wenye macho waliona, sisi tulivyopendeza,
tena ndani ya penzi letu
*averina (averina) wape uso watulie
*averina (averina) wape uso watulie
wewe kidali changu,wewe ni hazizi wangu,
wewe moyo wangu,
uh nia yao waharibu pendo
nia yao wazamishe upendo,
averina mwingine sina,uongo sina
nilikuwa najileta mahali sina,
niko fit na tayari nishapima
mwachane na maneno ya watu,
hawapendi penzi letu katu,

sure...nice
ReplyDeletesure...nice
ReplyDelete