NITULIZE LYRICS BY BROWN MAUZO FT.ALI KIBA

ni mara ngapi nimeficha siri nisiseme,
na siku ngapi niketi chini nikiwaza,
mama moyo mfupa huna husiniumize,
husije niua na maumivu,
na ushakata mizizi ya raha yangu,
tena sicheki mbona sasa ni kilio tu,
nimekulilia nimekuzoea wewe,
na pendo lako linanipotea,
oh nishakwenda mpaka tanga,
kwa matibabu,kutafuta dawa nirudi,
na mbona hurudi macho yangu yapone,
husifanye kusudi,gonjwa langu lipone

 nimeamini maneno ni sumu,
tangu uondoke,
tamu limegeuka chungu ,
(nakumbuka tamu kitandani hodari
kutwa nashika tama na usiku silali x2)

tulia tulia (tulia baby tulia) x2
nitulize mama (nitulize)
nimechoka sana (nitulize)
nishakula yamini (nitulize)
sitaki kuzunguka tena naridhika nawe (nitulize)

wamemwaga chungu ndani ya pendo,
yangu mimi ali,si tamu tena,
eh na nilvyo hangaika mpaka ata kupata,
sheri eh hawakuniona,pendo linahudhi najua,
tena nilivyozurura upate kula,
leo inaniuma neno ni sumu,

ulivyoondoka,nilidhani nitazoea,
sa naogopa mapenzi nikiyapa sekunde,
mama sekunde,nikiyapa sekunde,




No comments:

Post a Comment