NAFSI LYRICS BY SALAMU TMK (MKUBWA NA WANAWE)



Verse 1
(osama) Shirko ,mkubwa na wanawe nipe fursa niseme,
Osama mkubwa na wanawe nipe fursa niseme,

(chorus)

(podo) Nafsi imenituma mie niseme x2

(osama) Siku hizi hakuna ndugu ,
Imebaki midabwa ni midabwa,
Akupendaye ndugu huyo ,
awe mama awe baba sawa x2

verse 2
(star boy) 
familia yetu mikosi,
baba kapelekwa polisi,
tatizo nyumba ya uridhi naumia,
nashangaa tunapendana wakati wa raha ,
roho inaniuma tunatengana kwenye shida eh

verse 3
(abuuado)
 undugu wetu undugu wa sambusa,haukawi
kuzaliwa naye ,ananidharau,
(zuberi)
upendo gani kushoneana sanda,
 angali niko hai,
wanaochimba mashimo uingia wenyewe,

verse 4
(star mapozi) 
ninakumbuka mengi ,
aliyonihusia mama,
binadamu wabaya yani bora hufungi lawama
we mama nashukuru sana kuzaliwa Tanzania,
we mama nafurahi sana nami ninatia,

(chorus)
Verse 5
(fetty) 
Uu uu ah,
ahsante mwana shamba,
 kwa kumkumbusha bwana,
 kama mapenzi ni wanja basi nitapaka bwana ,
Namshangaa mjomba,
kwa kumdhulumu kiwanja,
ah ah eh

verse 6
(podo) nyumba ile ,baba Yule ,
kamfanya mwanawe msukule,
Apate mapesa mapesa ,
Apate mapesa achanue x2

Verse 7
(Kinyoka mdimu)
Hangekuwa baba yangu mie ,nisingeteseka,
Hangekuwa mama yangu mie ,nisingeteseka,
Hangekuwa baba yangu mie ,singeteseka,
Hangekuwa mama yangu mie ,singeteseka,
Ah nahuzuni  mie, ninateseka mie

(Chorus)
Cheza kinyonge, eh shingo upande eh x6










No comments:

Post a Comment