Showing posts with label mbosso. Show all posts
Showing posts with label mbosso. Show all posts
HODARI LYRICS BY MBOSSO
[Intro]
La la la lalaaa
La La La Lalaaaa
[Verse 1]
Shombe shombe mtoto laini laini
Anawakawakaaa aaa
Wanga wape vidonge nimebaini baini
Wanatapatapaaa aaaaaa
Mmmh me na wewe mpaka kiama, tuombe uzima
Waroge kwa kuchutama na wasimame wimaa
Kamwe hawato pata mwanya habidhi fitinha
Wavige mabiringanya si tutoke dinner
[Pre-Chorus]
Nalegeaa ukinitazma yako macho yako machoo
Nalegeaa ikigusana Yangu na yako, Yangu na yako
[Chorus]
Katoto hodarii
hodari wa mapenzi
Jamani hodari
hodarii wa mapenzi
Kwa michezo ya chumbanii Hodarii
hodari wa mapenzi
Mtundu kitandani hodarii
Hodari wa mapenzii
[Verse 2]
Katoto nyakanga kame mzidi somo nakubwi
Chumbani kiranga kinaishaga komo kirungi
Ni sakata makirikiri kuniwasha kama pilipili
Fundi hasa amekidhiri kunipa mpaka nilewee
Kwasa kwasa ndani bingiri
Za kukataga chilii nani haswa unafikirii
Kama si wewee nichezeshe kidali sosi
Usiku wa mananee vangaa
Nikande kipanda uso tufunikane kanga
Nitishe boda la huko tukakutane tanga
Sie pin wa uputo wasijichanganye watapasuka
[Pre-Chorus]
Nalegeaa ukinitazma yako macho yako machoo
Nalegeaa ikigusana Yangu na yako, Yangu na yako
[Chorus]
Katoto hodarii
hodari wa mapenzi
Jamani hodari
hodarii wa mapenzi
Kiuno kunengua hodarii
Hodari wa mapenzi
Bidu kunibidua
hodari wa mapenzi
Wema sepetu hodari (Hodari wa mapenzi)
Uwoya hodarii (Hodari wa mapenzi)
Mama Cookie hodarii (Hodari wa mapenzi)
Mama Dangote hodarii (Hodari wa mapenzi)
Jack Wolper hodari (Hodari wa mapenzi)
Zari mama Tiffa hodari (Hodari wa mapenzi)
Oh esmakhan hodari (Hodari wa mapenzi)
Elizabeth Micheal Hodari (Hodari wa mapenzi)
NIPEPEE LYRICS BY MBOSSO
Eh Wallah,
Mungu kanipa nilichomuomba mashallah (rahaaa)
Na wala si shiriki kubatula unanisongaa nalalala
Jamani (rahaaa)
Nitakulinda kwa ku noti
Nittapingana jihadi
Pendo liwe madhubuti
Wassingie waganga
Wapambe viburushuti
Wape chai kwenye jagi
Yetu utamu biskutii
Wasitie mchanga
Penzi letu basikeli kaa bomba la mbele
Dear, unipige mabusuu
niwachome kweli kwelii wenye viherehere
Dear, wakome yaso wahusu
Beby zima feni
Nimeleta kipepeop
Beby zima feni
Nimeleta kipepeo
Zima kiyoyozi
Nimeleta Kipepeo
Zima feni
Nimeleta Kipepeo unipepee
Mungu kanipa nilichomuomba mashallah (rahaaa)
Na wala si shiriki kubatula unanisongaa nalalala
Jamani (rahaaa)
Nitakulinda kwa ku noti
Nittapingana jihadi
Pendo liwe madhubuti
Wassingie waganga
Wapambe viburushuti
Wape chai kwenye jagi
Yetu utamu biskutii
Wasitie mchanga
Penzi letu basikeli kaa bomba la mbele
Dear, unipige mabusuu
niwachome kweli kwelii wenye viherehere
Dear, wakome yaso wahusu
Beby zima feni
Nimeleta kipepeop
Beby zima feni
Nimeleta kipepeo
Zima kiyoyozi
Nimeleta Kipepeo
Zima feni
Nimeleta Kipepeo unipepee
JIBEBE LYRICS BY WCB FT.DIAMOND PLATNUMZ X LAVALAVA X MBOSSO
Intro:
Jibebe bebee
asa Jibebe bebee
embu Jibebe bebee
siu Jibebe bebee
oya Jibebe bebee
asa Jibebe bebee
embu Jibebe bebee
siu Jibebe bebee
{Verse 1 : Diamon platnumz }
i say wee ngoja nijiseti, siwalisusa nakula
fanya wainama kisha rotate, tuwakunjishe na sura/
leo shimo limetema nimeshinda beti [shinda beti]
tuwaoneshe sinema wakina fetty /
{Hook up : Diamond platnumz}
asaa joo nijoo { i like it}
when i dance jogodo { i like it}
anh jinkolo jinkologo { i like it}
kouno lasotojo { i like it}
baby joo joo joo { i like it}
anh jinkolo jinkologo { i like it}
kifupa joghodo { i like it}
Uno lasotojo { i like it}
{Chorus : Diamond platnumz}
oya Jibebe bebee
asa Jibebe bebee
embu Jibebe bebee
siu Jibebe bebee
oya Jibebe bebee
asa Jibebe bebee
embu Jibebe bebee
siu Jibebe bebee
{Verse 2: Lava lava}
anhee!!!
nataka kwenye pachu pachu
[pachu pachu]
kitandani mwendo kwachu kwachu
[kwachu kwachu ]
nichanganye wauone niwe fyatu fyatu
[fyatu fyatu ]
ilipenzi walikumoe washakunaku
[shakunaku]
enh baby sankololo
[ennhee]
kerewa
[ennhee]
naija soco soco
asa ndombolo
[ennhee]
malewa
[ennhee]
aya loco loco
mikwako shoti ya takila lewa vimba[vimba]
nikuchekeshe kama gwakila mkudesimba /
{Hook up : Diamond platnumz}
asaa joo nijoo { i like it}
when i dance jogodo { i like it}
anh jinkolo jinkologo { i like it}
kouno lasotojo { i like it}
baby joo joo joo { i like it}
anh jinkolo jinkologo { i like it}
kifupa joghodo { i like it}
Uno lasotojo { i like it}
{Chorus : Diamond platnumz}
oya Jibebe bebee
asa Jibebe bebee
embu Jibebe bebee
siu Jibebe bebee
oya Jibebe bebee
asa Jibebe bebee
embu Jibebe bebee
siu Jibebe bebee
{Verse 3: Mbosso}
oh darling
nipe chuzi lachuku chuku ninywe bakuli zima
mshede mtukutu azame kwenye kisima
fatuma wee kishtobe
mwite aisha miugunoee
alivo nyonde nyonde kama gobe
nimshindue na miunoee
twende kopa kabana
[nheee]
kupumuana nana
[nheee]
kwakugandana
{ i like it}
nimufuate banna
[nheee]
kwani nananaa
[nheee]
tukikanana
{ i like it}
Baby papasa kichwa jusi kafiri nisafishe mtaro
naulivo jaza nyuma kilo mbili nyanya za mataro/
{Hook up : Diamond platnumz}
asaa joo nijoo { i like it}
when i dance jogodo { i like it}
anh jinkolo jinkologo { i like it}
kouno lasotojo { i like it}
baby joo joo joo { i like it}
anh jinkolo jinkologo { i like it}
kifupa joghodo { i like it}
Uno lasotojo { i like it}
{Chorus : Diamond platnumz}
oya Jibebe bebee
asa Jibebe bebee
embu Jibebe bebee
siu Jibebe bebee
oya Jibebe bebee
asa Jibebe bebee
embu Jibebe bebee
siu Jibebe bebee
NADEKEZWA LYRICS BY MBOSSO
hohoho hohoho
hohoho hohoho
salamu ulizonitumia zimenifikia
nipo salama hata husijali
nalishwa vitamu vinono najililiaa
ini yani angamiaa
penzi twadalikaa napo kidali
nimekusahau
nakumbuka tuu lako jina
kidogo angalau lengo mizizi sio kukatashinaa
penzi wakapanda dauu
mjini baba pesa fitinaa
vile ukanidharau
visentii haba mfuko umenichinaa
na ndo uwezo wangu ulipoishia
ningekupa nini tena
kula yangu ya kukupapasia
hukumeza ukatema
mi sina gari ngingekupa nini tena
(ooooo)
hukumeza ukatema
(chorus)
nadeke nadekezwa x3
nadeke x3(nadkezwa)
nadeke nadekezwa x2
nadeke
ndani ya masham sham mtoto kanikabili oh
hadi nakam kam kumina mbili alfajiri
naam nishamvisha nyota cheo
chake kikubwa cha mapenzi
kanijaza kanichoka kanishika pabaya
nakutaadharisha simu za usiku punguza
unahatarisha penzi langu moto kuunguza
ndani ya masham sham mtoto kanikabili oh
nisha kusahau nakumbuka tu lako jina
kidogo angalau lengo mizizi sio kukata shina
penzi wakapanda dau mjini baba pesa fitinaa
vile ukanidharau visenti habaa mfuko umenichina
nando uwezo wangu ulipoishia ninge pu nini tena
kula yangu ya kupapasia hukumeza ukatema
mi sina gari ningekupa nini tena oh
hukumeza ukatema
(chorus)
nadeke nadekezwa x3
nadeke x3(nadkezwa)
nadeke nadekezwa x2
nadeke
oh oh oh oh
About the song
Once Caught in love in a hard place, Mbosso now finds himself in peace freed from confusion and guilt as his so-called “ex girlfriend” attempts to find her way back to his heart in ‘Nadekezwa’.
‘Nadekezwa’ meaning ‘Im pampered’ is a Swahili love balled about a man who was once in love but taken for granted by his then girlfriend; but manages to find hope, love and peace in his new found relationship.
Written By: Mbosso
Produced By: AbyDad
Studio: Square Music
FUTA LYRICS BY BAHATI X MBOSSO
(MBOSSO)
Uuhuu uyee uuwewe
yale yale ya ujana maji ya moto
nikaukurupukiaa
leo hii wawili watoto
wanaiangaliaa
napambana sana na changamoto
kuwafutiaa
nikikosa mzazi mwenzangu
anakuja moto matusi kunshushiaa
natumia nguvu kutafuuta
jasho laloesha shatii
chini nikiziba ufa
juu linaanguka bati
zile ng'ong'o kwa ndugu jama
zishaishaga mazima (mie)
miondoondo mlezi wa wana
lakini zali sinaa (miee)
ama sauti yangu kwa mungu baba (haisikiki)
tuseme dua zangu mbingu ya saba (hazifiki yoyo)
(chorus)
futa chozi futa (husiulize nalia nini)
futa chozi futa (naisi riziki yangu imepigwa pini)
futa chozi futa (iyeee lele lelile)
futa chozi futa (mungu baba nione)
(BAHATI)
nikiwa kazini akili zote zipo nyumbani
nikiwa nyumbani wakusalishe sina amani
nakazana sana kimziki
kweli napambana kubahatisha riziki
wanaomba mabaya na roho za choyo
na ndugu zangu wakiwemo
napata fupa mi kibogoyoo
mungu ameninyima meno
nikitazama watoto wangu
nje ya ndoa wamezaliwa
kwenye imani ya dini yangu
wanasema nishakosea
ama sauti yangu kwa mungu baba (eeh)
tuseme dua zangu mbingu ya saba (hazifiki baba eh)
(chorus)
futa chozi futa (kuna muda naishiwa nguvu)
futa chozi futa (elimu sina kichwa mbumbuu)
futa chozi futa (naganga ganga njaa)
futa chozi futa (eh mungu wangu lingi langu fungu)
PICHA YAKE LYRICS BY MBOSSO
Hee!! hee!!
la la aah aaah
naishi naisha
hata sura inakosa nuru
napuputika
mnyonge mwoga mi kunguru
namridhisha
na wa mwisho kwenye musururu
penzi la kujificha
mbele za watu haiko huru
sili nikashiba
mwanga ndani nje giza
kanipa ratiba
tamu yangu kila jumapili
moyoni mwiba
nahema kwa shida
penzi msiba
lina niliza mimi yeeh
siku nikifa
nizikwe na picha yake yeye
yee!le!Le!le!
naimani nitakutana na yeye
aaaa!-aaa!aa!a!
siku nikifa
nizikwe na picha yake yeye
yee!le!Le!le!
naimani huko
tutakuwa wenyewe
lalala
la la la la
woo wo wo
la la la la
uuu uu uu u
la la la la
iye iye iyee le le
la la la la
silali baridi
usiku natetemeka
na mbaya zaidi
rafiki wananicheka
silali baridi ye ye
usiku natetemeka
mi najitahidi
ila siishi kusononeka
mmh eh
ona mawingu
yamepambwa kwa rangi nzuri
sio mimi wala wewe
ni mungu mwenyewe
akaumba jua na mbingu
na mapenzi kama kivuli
tujifiche mi nawe
sa mbona unaniacha mwenyewe
wahenga walisha sema
ukipewa ukilema
unapewa na mwendo
ila kwangu si neema
yani sisimizi
kumuua tembo
ooh chanda chema
limebaki neno
hakuna mapendo
nilipolenga nimedema
moyo umekosa malengo
mama oh oh
siku nikifa
nizikwe na picha yake yeye
yee!le!Le!le!
naimani nitakutana na yeye
aaaa!-aaa!aa!a!
siku nikifa
nizikwe na picha yake yeye
yee!le!Le!le!
naimani huko
tutakuwa wenyewe
lalala
la la la la
woo wo wo
la la la la
uuu uu uu u
la la la la
iye iye iyee le le
la la la la
silali baridi
usiku natetemeka
na mbaya zaidi
rafiki wananicheka
silali baridi ye ye
usiku natetemeka
mi najitahidi
ila siishi kusononeka
SHIDA LYRICS BY MBOSSO
Natoka zangu kwetu kibiti,
naisaka da re salaama
naenda tafuta riziki,
niwatunze baba na mama
zikiugana haba na haba ndio kilo inatosha
chunga ni kufa haraka bwana
sisizokutosha
maana yasema riziki mafungu saba
inayo kutosha
NIMEKUZOEA LYRICS BY MBOSSO
Hujaacha tobo uliloniachi ni bonge la tundu
sina nyendo mama kaninunia nahisi gundu
nakunywa gongo najisaidia nguoni aibu
uu walongo kitanda changu ndio chooni
wee ndio sababu uh uh wewe sababu uh uh
buto mobimba na nzolela
naumia sana nimekuzoea
buto mobimba na nzolela
naumia sana mama
nimekuzoea ah
mmh ndoto za ajabu kichwani unakuja wewe
sura yako
nishasomewa bado vinasema wewe
nikifa maiti yako yee hee
( chorus )
aya aya aya aya
machozi hayataki kukauka
aya aya aya aya
kushoto kulia yashuka
aya aya aya aya
na machozi hayataki kukauka mama
aya aya aya aya
(aaah eeh ...eh)
utamu wa nanasi ghafla huwa mchungu sana
ukinywa maji
baby wangu wasiwasi nani kakuficha mama
rudi basi iiii
ah tajiri wa huzuni machozi kwangu bwelele
upepo wa firauni umemkumba ngedele
mfikoni mbuni vichenjichenji njenjere
namaliza sabuni mdomo koma kelele
buto mobimba na nzolela
naumia sana nimekuzoea
buto mobimba na nzolela
naumia sana mama
nimekuzoea ah
mmh ndoto za ajabu kichwani unakuja wewe
sura yako
nishasomewa bado vinasema wewe
nikifa maiti yako yee hee
( chorus )
aya aya aya aya
machozi hayataki kukauka
aya aya aya aya
kushoto kulia yashuka
aya aya aya aya
na machozi hayataki kukauka mama
aya aya aya aya
(aaah eeh ...eh)
ALELE LYRICS BY MBOSSO
Nyama zetu za ulimi
zikikutana asali bonyea chini
changama kama tayari
leo tule nini
miogo ya koko
kwa kachumbari si unajuanga mimi
kitandani huwa hodari
kama umenironga eeh
mganga fundi mama
umeniweza ,nilichomeza mimi sijatema
chumvi kwa kikopa
wali maini ndizi nyama
umenilegeza
ukinigusa tu natetema
shuka kifuani baby
naomba nipate supu
ya nyama laini
kama mapupu
yale ya gizani baby
nje tusiyaruhusu
kwa majirani
wambea wakina rufufu
mhhh aah (alelele)
inzi wangu kidonda ning'ong'ozoe
(alelele)
mhhh aah (alelele)
moyo wangu udongo ubongonyoe
(alelele)
asubuhi niamshe kabla ya kwenda kazini...jogingi
kijasho kitoke
ukihisi nachoka piga filimbi
oh unikamate
kama nayumba shika ngingi
wachefukwe mate
maembe mabichi wape mbilimbi
utamu wangu mimi
wajua wewe,penzi tubane na pini
iwe siri yetu wenyewe,
mhindi wa kusini
mwenye mapenzi tele
kibiti hakuna madini
tukawinnde tetele
shuka kifuani baby
naomba nipate supu
ya nyama laini
kama mapupu
yale ya gizani baby
nje tusiyaruhusu
kwa majirani
wambea wakina rufufu
mhhh aah (alelele)
inzi wangu kidonda ning'ong'ozoe
(alelele)
mhhh aah (alelele)
moyo wangu udongo ubongonyoe
(alelele)
WATAKUBALI LYRICS BY MBOSSO
aaah
uwowo wowo
wowowoh
asalale mungu akaninyima upole
hali yangu majalala mwari nilo kosa
mkole ,taminal mbagala ofisi
ya kila ndole nawakilisha mafala
wajinga wa kuja bongo
wageni wa dsm
vipi nitakizi mahitaji yako
yangu yananishinda ,hali mbaya
sina godoro na vipi kuhusu wazazi wako
kielimu mimi mjinga
japo mapenzi hayanaga kasoro
kama una kumbukumbu ata baba
yako nishawahi kumkaba alilia alilia
kwa uchungu na mama yako nilipompora zaga
je watakubali??
hivi unadhani
watakubali??
wazazi wako
watakubali??
mi nawe hatulingani
watakubali??
hali yangu na yako eh
watakubali??
hivi unadhani
watakubali??
waaaah
watakubali??
shida mama shidaa
watakubali
oooh
najua watamani tuoane miguu
yangu kutwa iko bizeee
sitaki ubaki mjane
kula kwangu hadi nikimbizwee
niendapo barabarani
husinisubiri nikikwambia ngoja
mana si kazi vitani
kufa ni tendo la mara moja muda mwingine
shati begani pekupeku
utadhani nimerogwa
mguu nje mguu ndani difenda
inakubeba kaa mzoga
raha ya mapenzi ushemeji
kucheka dada na majirani
na nishafanywa kote majegejwa
hawanipendi mtaani
vipi nitakizi mahitaji yako
yangu yanishinda
hali mbaya
sina godoro na vipi kuhusu wazazi wako
kielimu mimi mjinga
japo mapenzi hayanaga kasoro
kama una kumbukumbu ata baba
yako nishawahi kumkaba alilia alilia
kwa uchungu na mama yako nilipompora zaga
je watakubali??
hivi unadhani
watakubali??
wazazi wako
watakubali??
mi nawe hatulingani
watakubali??
hali yangu na yako eh
watakubali??
hivi unadhani
watakubali??
waaaah
watakubali??
shida mama shidaa
watakubali
oooh
Subscribe to:
Posts (Atom)
-
kuthi hhuu! [feel pressure of the Air (Spirit)] Zonke ezam Xa zibuya uzozibona [When My squad returns you’ll see] Banomoya. [They a...
-
Ekoti te ( you missed the shot). Dj Mopao frontiere ya liwa, kanga foto (Dj Mopao the border of death, take a photo) Tutu Roba Ve...
-
Where to go I do not know Looking for answers why I do not know You are no longer listening You are no longer interested You are ...