Showing posts with label aslay. Show all posts
Showing posts with label aslay. Show all posts

NYANG'ANYANG'A LYRICS BY ASLAY


Ai yooo Ooh yeah
Ooh yeah wewe
 Wewe Baby pole pole,
Usije nitesa nafsi
Kuku nipe mchele, mahindi ngedele
Usije niacha basi Mmmh, mpaka majogoo,
Kitandani ni mafunzo ya ki Commando
Nipe mama nipe nyumba na choo
Hongera umevua pekee bila chambo
Wanapata taabu wanavyoona tunapendana
tunawapa adhabu mpaka maji
wanaikama mama ma
Umeniweza nyang'anyang'a (aiyo)

Nyang'anyang'a beiby ooh
Sijateleza nyang'anyang'a (wouwo)
Mi kwako nyang'anyang'a (mpenzi njoo)
Umeniweza nyang'anyang'a (aiyo)
Nyang'anyang'a beiby ooh
Sijateleza nyang'anyang'a (aah)
Mi kwako nyang'anyang'a
Sasambu sasambua

Ukimaliza kupika kazi yangu kupakua
Ukimaliza kufua kazi yangu kukamua
Ukitaka muwa, naumenya nakugea unakula
Oooh, uchungu wangu unaujua wewe
Uchungu wako naujuwaga mimi mwenyewe
Pilika pilika za kuku na mwewe
Adui ndo inazo walazi wasitusumbue
Wanapata taabu wanavyoona tunapendana
tunawapa adhabu mpaka maji
wanaikama mama ma
Umeniweza nyang'anyang'a (aiyo)
Nyang'anyang'a beiby ooh
Sijateleza nyang'anyang'a (wouwo)

Mi kwako nyang'anyang'a (mpenzi njoo)
Umeniweza nyang'anyang'a (aiyo)
Nyang'anyang'a beiby ooh
Sijateleza nyang'anyang'a (aah)
Mi kwako nyang'anyang'a
Nakupa yote, Chukua Chukua
Chukua Yote Yako , Chukua Chukua
Chukua Peke Yako, Chukua Chukua Chukua
Umeniweza nyang'anyang'a (aiyo)
Nyang'anyang'a beiby ooh
Sijateleza nyang'anyang'a (wouwo)
Mi kwako nyang'anyang'a (mpenzi njoo)
Umeniweza nyang'anyang'a (aiyo)
Nyang'anyang'a beiby ooh
Sijateleza nyang'anyang'a (aah)
Mi kwako nyang'anyang'a

ANANIKOMOA LYRICS ASLAY


Ananikomoa, Ananikomoa
Ananikomoa, Ananikomoa
Ananikomoa, Ananikomoa
Ananikomoa, Ananikomoa

Mwili umejaa vidonda donda
Kisa kupenda, aah
Naitwa bwege naishi kwa kuonga onga
Sabuni chooni namaliza mimi kwanini jamani
Kama Mwajuma nilimpa simu cha ajabu kanipora
Salima hataki mapenzi anataka pochi
Magugu Avelina baada ya kumpa gari eti hanitaki
Nguvu sina eeh wolololo

[Chorus: Aslay]
Aai, bora nife

Huenda nitagomoka pengine, mmh
Aai, bora nife
Huenda nitagomoka pengine
Ananikomoa, Ananikomoa

Ananikomoa, Ananikomoa
Ananikomoa, Ananikomoa

[Verse 2: Bahati & Aslay]
Aai, nilimpendanga mwenzangu akaumiza roho yangu tu


'Kaniwazisha niwe padri nihudumie kanisani
Aah, ooh, aah
Nikaogopa mapenzi tu
Tena usije unasumbuka kutoa uhai (ni ya nini?)
Sijamlaumu wala kuwacha zamani (zamani)
Ukikata na roho utajibu nini siku ya kiama
Kama Diana
Nimempa simu cha ajabu kanipora
Aai, Penina
Hataki mapenzi anataka pochi
Mama Ivana
Baada ya kumpa gari eti hanitaki
Nguvu sina (wolololo)
Ananikomoa, Ananikomoa

Ananikomoa, Ananikomoa
Ananikomoa, Ananikomoa
Ananikomoa, Ananikomoa
Huenda nitagomoka pengine (labda nitagomoka, eeh eeh)
Aai, bora nife (wololo wololo)
Huenda nitagomoka pengine
Usiseme, usiseme
Unasubiri nini? (nasubiri nini)
Duniani (nasubiri nini)
Nasubiri nini? (nasubiri nini, eeh)
Usiseme unasubiri nini
Duniani (nasubiri nini)

[Bridge: Aslay]

'Japokuwa hujaniwishi kwenye birthday yangu
Ila usikose mazishi kwenye msiba wangu woah, woah
'Japokuwa hujaniwishi kwenye birthday yangu
Ila usikose mazishi siku ya msiba wangu

NIKUPE NINI LYRICS BY OTILE BROWN FT. ASLAY


oh oh eh
tukiacha pweza
mtoto fundi umeniweza
husiniachie mchuzi wa pweza
kwenye kokoto nateleza
wachawi bado hawajaweza
penzi tunavyolisambaza

unataka nikupe nini
eh vitu vya asali
unataka nikupe nini
ingali
unataka nikupe nini

sina pa kulala nisipokuwa na wewe
sitopata raha,

Aaah nikupee ,nikupe
nikupe nini nikupe ah
Aaah nikupee ,nikupe
nikupe nini nikupe ah
Aaah nikupee ,nikupe
nikupe nini nikupe ah
Aaah nikupee ,nikupe
nikupe nini nikupe ah

KWATU LYRICS BY ASLAY

Mmwaaah mmwaaah mmwaaah
 Baby mi na we nganganga
Usije ukaenda kwa mgaga
Dj ebu piga charanga tuchezee
Wanauliza maswali
Tuwajibu kwa vitendo
Waambieee wajue Mi kwako nishatia nangaaa
Fumba macho usije danga Utaniumiza roho
Nikila korosho Kula karanga, tuzimeze ooh
Usiniache nitatangatanga Yatima ooh
Unionyeshe alokufunza nyakanga Kitandani njoo
Nimeona wengi sana
Wazuri sana
Ila kwako nimekwama Sijatereza kukuchagua
Nichochee, nichochee
Kama moto unichochee

Kwatu
Roho yangu kwatuu
Kua na wewe
Kwatu kwatu kwatu
Roho yangu kwatu
Roho yangu kwatu
Kua na wewe
Kwatu kwatu kwatu
Roho yangu

Ukiwa mbali mwili wote unapooza
Nahisi kama nimekufa na tayari nishaoza
Chai sukari
Mupenzi hebu koleza
Usije ukakurupuka ukajaniacha kwa jeneza
Familia yangu iko polisi inakutafuta wewe
Nasikia unabonge la kesi la kuniteka mie
oooh loo loo loooh La kuniteka mie eeh eeh eehk
aaah aaah aaaah aaaaaaaakh
Wambie wajue Mi kwako nishatia nangaa
Nimeona wengi sana
Wazuri sana
Ila kwako nimekwama Sijatereza kukuchagua
Nichochee, nichochee
Kama moto unichochee
Vunja mifupa kama meno ipooo
 Kwatu
Roho yangu kwatuu
Kua na wewe
Kwatu kwatu kwatu
Roho yangu kwatu
Roho yangu kwatu
Kua na wewe
Kwatu kwatu kwatu
Roho yangu
Nikishika kiuno
Unishika mabega ayayaaah
Unavonigusa kokote mwenzako naregea ayayaaaaaah
Baby humo humo Uliponishikia ayayaaaayaah
Uking'olewa meno Mwenzako navimba mdomo pia ayayayaaayaah
waambie wajue mi kwako nishatia nangaaaa

SUBALKHERI LYRICS BY ASLAY FT. NANDY


Aaaaah,aaaah ,aaaah
Aaaaah,aaaah ,aaaah

Aaaaah,aaaah ,aaaah
Aaaaah,aaaah ,aaaah

subalkheri mpenzi waonaje hali yako
subalkheri mpenzi hali yangu kama yako
wawaonaje wazazi nyumbani utoke yako
kawanusuru mwenyezi hofu yao juu yako
ebu nitoe majonzi unijuze shida yako
shida yangu sijiwezi ,dawa yangu sura yako
ebu nitoe majonzi unijuze shida yako
shida yangu sijiwezi ,dawa yangu sura yako

mwinginewe hachomozi nakupenda pekeako
mwinginewe hachomozi nakupenda pekeako
daima nitakuenzii silitupi pendo lako
daima nitakuenzii silitupi pendo lako

ukiwaka mbali baby mwenzako
pressure inazidi,
speed husiniache baby utanipigo la kigaidi
basi mororo
najua uko na mimi penzi wewe
husije nifanya kiporo eeh
ukiwa mbali baby mwenzako
pressure inazidi,
speed husiniache baby utanipigo la kigaidi
basi mororo
najua uko na mimi penzi wewe
husije nifanya kiporo eeh

ebu nitoe majonzi unijuze shida yako
shida yangu sijiwezi ,dawa yangu sura yako
ebu nitoe majonzi unijuze shida yako
shida yangu sijiwezi ,dawa yangu sura yako

mwinginewe hachomozi nakupenda pekeako
mwinginewe hachomozi nakupenda pekeako
daima nitakuenzii silitupi pendo lako
daima nitakuenzii silitupi pendo lako

HAUNA LYRICS BY ASLAY


Ilikuwa inakuumaga ukiniona naye
ilikuwa inakuchomaga mwanaume wewe
ulitamani wewe ndio uwage mie
ndio maana nilipomuacha ukaamua umuoe

we hauna ,we hauna
hauna moyo kabisa
hauna ,we hauna ,we hauna,
ulumagiki ata kulika
hauna wewe

alipopika chakula ulikuwa jikoni
sikujua ni kwa nini,
nilijua ushemeji tu,
kumbe kule mlikuwa mnayapanga ya kwenu
nyinyi mpaka umemteka
umekuwa gaidi juu

nimekubali ,nimekubali ,nimekubali
nitamwita shemeji oh
nimekubali ,nimekubali ,nimekubali
nitamwita shemeji
ah shemeji,eeh shemeji ,eh shemeji eeh
kila upande shemeji eeh
shemeji shemeji eeh
kishingo upande

mara oh tunaendana unaomba tusije kuachana eti,
unatupendaga sana kumbe we nichora ,
kumbe we nyuki,
mwenye laana kaniacha
manundu ya mchana nilivyobeep
kapiga tu mapema ukasepa na sinyora
oh mama sira umemvisha na shela
we mbona ni mbaya oh
ni mbaya sjui ulimpa dawa
au ndio hela ila yote sawa mi
nasema inshallah mungu atalipa ah

alipopika chakula ulikuwa jikoni
sikujua ni kwa nini,
nilijua ushemeji tu,
kumbe kule mlikuwa mnayapanga ya kwenu
nyinyi mpaka umemteka
umekuwa gaidi juu

nimekubali ,nimekubali ,nimekubali
nitamwita shemeji oh
nimekubali ,nimekubali ,nimekubali
nitamwita shemeji
ah shemeji,eeh shemeji ,eh shemeji eeh
kila upande shemeji eeh
shemeji shemeji eeh
kishingo upande