JIKE SHUPA LYRICS BY NUH MZIWANDA FT ALIKIBA

DOWNLOAD OUR ANDROID APP HERE 
 
Nipeleke kwa mganga , na mimi nataka wanga
maana mapenzi yamenikoroga kinoma,
(anachanje chale mwili mzima,
nisimkumbuka ata jina, yule hasidi
gaidi wa moyo wangu) X 2

(haya mapenzi basi, nimeyavulia shati,
kupendwa ni ajira, namimi sina vyeti)X 2
kule kukusifia, mabaya kukufichia,
mbele ya mama, oh baba, oh mama , oh lala

(mapenzi si ubondia, najikaza uku nateketea,
bora nijivue, nisijisumbue) X 2

eiii,
sasa basi , inatosha, nimekopesha mwili wangu,
bila kuogopa ,
kumbe jike shupa ,
ata kwenye karata, uku unaruka kila sehemu umeshapita,
sasa basi..

ulijidai kunipima akili  kwamizani
kuniendesha kama toy, kukosa nuru kutwaa kizani,
ukanikinai na aibu kunitia hadharani,
kuiniona sifahi masikini nimekosa nini.

(haya mapenzi basi, nimeyavulia shati,
kupendwa ni ajira, namimi sina vyeti)X 2
kule kukusifia, mabaya kukufichia,
mbele ya mama, oh baba, oh mama , oh lala

(mapenzi si ubondia, najikaza uku nateketea,
bora nijivue, nisijisumbue) X 2

[chorus]
eiii,
sasa basi , inatosha, nimekopesha mwili wangu,
bila kuogopa ,
kumbe jike shupa ,
ata kwenye karata, uku unaruka kila sehemu umeshapita,
sasa basi..

Inauma X3





MOTO MOTO LYRICS BY AMOS AND JOSH


Watu wengi nimeona, mfano wako hakuna
Kwa wema umesifika, imani yako hakika mami
Tabibu wa moyo wangu, utanipa dawa gani ju paumapo sipaoni
Juu yako taabani


 (CHORUS)
Jua likiwaka niwe nawe, mchana kutwa
Jioni likitua jua, usiniache
Tuashe moto, moto, moto mimi nawe
Penzi lituchome tusiwe
Moto, moto, moto mimi nawe
Tusiwe, tusiwe
Moto, moto, moto mimi nawe
Penzi lituchome tusiwe
Moto, moto, moto mimi nawe
Tusiwe, tusiwe

Nikisema nisikwambia, nitaumiza moyo wangu
Na nikisema nikwambie, sijui utasema vipi mama
Tabibu wa moyo wangu, nitatunga nyimbo gani
Paumapo sipaoni, juu yako taabani


 (CHORUS)

Moto, moto, hili ni sikio la kufa
Haliwezi sikia dawa, labda busu moja la power
Moto, moto itabidi nimewachuja
Ili nipate yangu fursa ya busu moja la power
Moto, moto hili ni sikio la kufa
Haliwezi sikia dawa, labda busu moja la powe


  (CHORUS)


TAKE IT SLOW LYRICS BY WILY PAUL FT. SAUTI SOL


am sorryx3 msafara,
baby najua unataka ata na me at some point huwaga nataka,
niko na baba ndani ya maisha,so inabidi niombe nipate self control,
kesho tusipatane na mambo ya control ,weka mungu mbele atatake control,
hisiwe story hii mambo ni ngori,maisha si movie husije kesho ukasema wah

you better take take take it slow, (take it slow)
you better take take take it slow (take it slow)
 maisha si rehearsal ukiandika huwezi council,
take take take it slow (take it slow)

pole pole pole pole ,mbio za sakafuni mwisho ni ukingoni,
vijana na madem tawafichua lini,maana wanalia wu wu,ii ii its so worrying
sa ni kama tumekwama,kimo cha maisha sa ni instagrama,
tukibishana na swaga,mali ya kuwazima ikiwaka ,
na sa hiyo ndio story,hii mambo ni ngori
malaika wa mbinguni,uje,uje

you better take take take it slow, (take it slow)
you better take take take it slow (take it slow)
 maisha si rehearsal ukiandika huwezi councel,
take take take it slow (take it slow)

MFUKO LYRICS BY SALAMU TMK


We mama wakufikia husimzalishe baba,x2
Kiatu kimefumuka kimefumuka fungu fumux2
We mama mdogo mwonee huruma baba,
Unataka babucha (eh babucha)
We mama mdogo mwonee huruma baba,
Kila zuri analofanya baba mama unapiga,
Yote ya dunia sote tunapita,

We kenua eh eh eh eh 
We kenua oh oh oh o
(We kenuax2)
 dawa yako inachemka,x2

unapenda mfuko kuliko mapenzi ya ndani ya moyo
unajifanya huoni hadi nirudi mpaka moyox2

ai yo yo x2 naendea msaada mie
ai yo yo x2 nikavunje ngazi mie 
ai yo yo x2 naenda kwa baba mie 
ai yo yo x2 nikavunje ngazi mie 

mhn,ningependa we ujue ,hii dunia ina mwisho,
ukipenda upende kweli husiwe unapenda mfuko
tena ukae utambue,kila mtu ana moyo na roho
unavyofanya si vizuri mtu mzima wewe ,

baba we x2 wanao tumeshaona,
we baba x2 mwenzako atakuua x2

nakonda kama pundamilia,nachapwa naishia kulia,
bila sababu nanyimwa chakula ,baba unaangalia
mama wa kambo anapika kama mgambo,ah ah,
(pili jina langu linafifia,oh oh ,
mama ananiita kinyoka mdimu)x2

anatamba kwa rafiki zake,
anasema ye gusa unase,eh eh 
na kuna mengi anaongea,
umri wako anaujua anasema anafuata uridhi,
eh baba wanao sisi tunaonewa
umri wako anaujua anasema anafuata uridhi,
eh mama wa kambo,

unapenda mfuko kuliko mapenzi ya ndani ya moyo
unajifanya huoni hadi nirudi tena mpaka mwanzo

unapenda mfuko,unajifanya huonix2 





 
 
  
 
 








 
  
 

NDI NDI NDI LYRICS BY LADY JAYDEE


then ndi ndi ndi,tolly ndii
ndi ndi ndi,tolly ndii x2
 
verse 1
ukanipa nafasi kuendelea,na sababu ya kuamini,
unatakiwa uishi oh,bila kujali wanafikiria nini,
mhn ..sababu siangalii nyuma,na sitorudi nyuma,
fondo nura fizo so mya ,ndoto zimetimia

(chorus) ze ndi ndi ndi 
(navyoroll, navyoflow, navyogrow)
tolly ndi x4

verse2
niliwezaje  kutoa vyote eh ,
ilhali wewe ulinyima vyote eh ,
kama ni jipu lililovimba zaidi,
nikasahau chizi huwa haponi ,kama chozi mvuani
hatimaye kumekucha milembe  nimekushusha,
na geti likifungwa,naondoka ndi ndi ndi,

(chorus)

verse 3
hatua kwa hatua ngazi nazipanda,
nayo makovu yameni imariasha,
moyo mfukoni tabasamu mdomoni ,
furaha yangu oh yaja kwanza,mambo yote
nimeyavua,oh chini nimeyatua,kikomando

(chorus)

 

(beautiful story in hand situation)