Showing posts with label CHRISTIAN BELLA. Show all posts
Showing posts with label CHRISTIAN BELLA. Show all posts

SHUGA SHUGA LYRICS BY CHRISTIAN BELLA


ahh Shuga shuga
ahh Shuga shuga
shuga shuga shuga eeh
mama shuga shuu shuu
mpenzi wangu shuga eh
kweli shuga shuu shuu

utamu yangu niongezee,niongezee
na wenye wivu vidonge wameze
iii,
for sure i love you baby
siwezi kuficha
for sure you drive me crazy
mwenzio ,mwenzio mwenzio

we mama shuga shuuu
shuga shuga
we mama shuga shuuu
shuga shuga
ata waseme umenipiga jujuju,jujuju
ata waseme umenipiga jujuju,jujuju
shuga shuga
shuga shuga
shuga shuga
shuga shuga

umenishika ki ukweli baby
karibu nazama
moyo wangu una hisia ya kuwa na wewe

mwenzio ,mwenzio mwenzio

we mama shuga shuuu
shuga shuga
we mama shuga shuuu
shuga shuga
ata waseme umenipiga jujuju,jujuju
ata waseme umenipiga jujuju,jujuju
shuga shuga
shuga shuga
shuga shuga
shuga shuga

PAMBE LYRICS BY CHRISTIAN BELLA


nanyoosha mikono yangu juu
naomba unisamehe
nishushie presha yangu juu
amani iendelee
tofauti kati yetu me na wewe ndio tuzitatue
tukisumbuana tutawapa nafasi wapumue
wabaki wakibabangabya wakiropoka
sisi tuchape lapa
unituze mama makopa kopa
tuwatoe kapa
tusiachane mbali baby
tushikane me na wewe ulimbo
ili basi dereva awe ndio wewe
me ndio utingo

pambe, pambena
pambe, pambena x4

tujisatiti,tusiwape kiki
watumie nyota zetu kutembelea
husiwape lift ata wakichimba kukugongea
wapige kelele siwasikii
lopolopolila
midomo yao kama honi wakiongea wanapuliza

wabaki wakibabangabya wakiropoka
sisi tuchape lapa
unituze mama makopa kopa
tuwatoe kapa
tusiachane mbali baby
tushikane me na wewe ulimbo
ili basi dereva awe ndio wewe
me ndio utingo

pambe, pambena
pambe, pambena x4

NISHIKE LYRICS BY CHRISTIAN BELLA


Kapinga wewe ,kapinga wewe,
oh mimi si unajua nakupenda,
chakula changu cha kila siku ni wewe,
nikila sishibi ,sikubali kabisa kushare na mtu,
kapinga mzuri,ukitoka watu wote macho kwake,
nikulinde vipi waisje nipora kapi -ih,
wenye nyumba mapesa magari wengi macho kwake,
nikufiche wapi ,oh baby,

Mpenzi wangu sura ya baby,
anapendaga kucheka kununa kwake noooo,
akikatika kidogo nadata namwita sherii,
akitingisha body napiga kelele,sherii,
sherii sherii sherii motema nangai,
sheriii sheriiii sherii bolingo nangaiii,
sherii sherii,sherii ostani longa,
sherii sherii,sherii *

nishike nikushike,nishike,
nishike nikushike,nishike,
(twende) kati kati katika,
kati kati katika mwa belle mwa mama,

bella bella eh,bella bella zambe,
cb obama milele mtoto wa mungu,
kuwa naye kapinga linamuuma,
kila siku ni maneno majungu na fitina,
eti mimi ninaye mimi sifai kuwa na yeye,
kila siku makelele jamani mimi na mimi,
wanataka niachane naye,watasubiri sana,

Mpenzi wangu sura ya baby,
anapendaga kucheka kununa kwake noooo,
akikatika kidogo nadata namwita sherii,
akitingisha body napiga kelele,sherii,
sherii sherii sherii motema nangai,
sheriii sheriiii bolingo nangaiii,
sherii sherii,sherii ostani longa,
sherii sherii,sherii *

nishike nikushike,nishike,
nishike nikushike,nishike,
(twende) kati kati katika,
kati kati katika mwa belle mwa mama,

kila kitu mamkusa (mamkusa)
watu wote mamkusa (mamkusa)
tutacheza  mamkusa (mamkusa ) 
kila kitu ni mamkusa (mamkusa)

patrick wa longo cheza taratibu,
apocalypse bella cheza taratibu
betty mazego,boss lady eh,
(nishike eh)

sherii sherii sherii
sherii sherii sherii
sherii sherii sherii
nishike nikushike,nishike,
nishike nikushike,nishike,
(twende) bet,man,simple the boy, 
 mwa belle mwa mama,





HEWALA LYRICS BY LINEX FT CHRISTIAN BELLA

nikiwa nikiyatafakari mapenzi najiona kama nina hatia
niko kifungoni na machoni haunioni,x2

labda niliumbwa niwe bachelor,
nisiwe na mpenzi kwajela*x2

naweza kuigiza nakupenda,nikakufanya kiini machoni,
ukaamini nakupenda,kwa mwingine siwezi kwenda,x2

huwezijua kilicho nadani ya mtu,
kama unachoelewa sana*na mimi ningesema hewala,






NAGHARAMIA BY ALI KIBA AND CHRISTIAN BELLA

 
DOWNLOAD OUR ANDROID APP HERE 




(bella)
ukimwona ,kapendeza,
si utafikiri katokea mbinguni,
ni mtoto mkali,kaumbika mama,
nahisi kama nishawahi kumuona,
(kafanana na nani,kwani ni nani ii
dem fulani,kama namjua)x2 
kiba wewewe yeyeye e ,ie
ali weyeye ,ie, kama namjua,
kiba wewewe ,unamjua huyu dem, 
(di di di di )X2 deeeh

iyeyeye (iye)x3 iyee

iyeyeye , iyeyooh, iyeoooooh

(kiba) 
namwona tu kasura kazuri,ni binti fulani eh,
marashi mazuri na gari kali eeh,
(ni kweli amependeza kama ni hurulaini,
mimi ni dem wangu huyo, ninagharamiax2)
bella wewewewe ooh ,we ni vipi wewewewe,
ninagharamia, 
bella wewewewe unamjua huyu dem,
(tiri didix2)
   
    

(bella) Ololo nashindwa kuvumilia ,
huyu mtoto kanipagawisha,
kila nikikutana naye ,
moyo wangu anadundadunda,
nataka tu kujuana naye ,
awe kama rafiki wangu,
labda moyo wangu atatulia tulii,

(Kiba) bella siachi raha kwa ubishi,
na mvumilivu hula mbivu ,
nimeshamaliza ng’ombe nzima,
kabaki mkia huyo,

Oh mama azali, azaliii, azali mwa si kitoko oh ,
meyifo balula ye , oya zali na bote naye,
(bella)azali mwa si kitoko,  oh balula ye
(kiba) kuteka na ngai ye , mwasi na ngai, ye iye
(bella) oye zali  na mutema yeye
(kiba)na lingio, lingio,mutema nga
(bella)ngana sengi tobina mama



(bella) katee, katee (kate),  katika kata (kata)
kate katee(kiba) yako kata loketo mama 
(bella)yaka katika , yaka katika
(kiba) yaka tobina mabina mboka,

(kiba) aaaah, mabina mboka, yako kata loketo,
mama ah ahh
iye iye iye  (iye) 
iyeyoyo, 
iyooooooah
 




ACHA KABISA LYRICS BY CHRISTIAN BELLA FEAT KOFFI OLOMIDE



zua nga foto, ale buka kigo, toseka muke

Ananipenda mimi, ninapenda yeye,
tunapendana , tumeshibana , tunaheshimiana,
walete maneno machungu, na fitana hatutoachana
na tena akiwa karibu yangu  ananimaliza,
ananidekeza ,namdekeza tunadekezana,
kidogo changu ni kikubwa kwake,
nakula naye iye iye

basi mpenzi njoo nikuvishe pete,
nikupeleke kwa baba na mama ,
ndugu jamaa, na marafiki wote,
wajue kwamba we ndio chaguo langu,
u mtima wanje iye,

 [CHORUS]
[(acha , acha, acha kabisa)
(acha , acha)] X 4

oh mummy, mi napenda kila saa uwe karibu  na mimi,

** ndani ye kolela nga ii
unataka nipate ugongwa ya presha, mapendi imenipeleka dunia gani ii

CHORUS

Zoungar photo, ale buka kigo
Tabia gani, kuingilia daily mapenzi ya watu,
fanyeni mnavyoweza,
mkijaribu hapa lazima mgonge mwamba,
si bora mchawi kuliko mnafiki,
jameni acheni tabia hizo.

CHORUS

Na meme mummy , we ni wangu we mummy,
nakupenda, tabia, tabia na sio sura yako, mama ya watoto,
kwako nimefika aah, chuba,
kila saa namwomba mola atuepushe na mabaya ya dunia,
Zoungar photo, ale buka kigo, toseka muke

ekotite X 4