Aaaaheeeh…
Kwako tena sitamani
Nilishajua nilivaba
Huna jipya Kurudi haiwezekani
Nishalioga janaba
Nikajisafisha uhmmm
Oh maradhi yangu
Yamepata muguzi
Mola wangu
Amenivusha vihunzi
Pole mwenzangu
Unokesha kwa waganguzi
Nishapata wangu '
Anaejua nogesha chuzi
Naa ananipa mapenzi na kunijari dia
Ya nyuma niyasahau
Na anamaliza tenzi kutwa kunisifia
Kwa methali na nahau
Kwingine nitake nini Ntang’angana,
Nang’ang’ania ohoo mimi
Nang’ang’ana nang’ang’ania
Sitaki madanga wa mjini
Nang’ang’ana, nang’ang’ania
Oohooo mimi Nang’ang’ana
Nang’ang’ania Aaah atake cha uvunguni
Sawa sawa Pingili za sakafuni
Sawa sawa Michezo ya kusaka kunguni
Sawa sawa Tom na Jerry katuni
Sawa sawa (sawa ...) Uliposema wa nini
Ye aliwaza atanipata lini
Kendebwe za nini
Na vijembe vya chini chini
Yupo makini Penzi kashalibana na pini
Anipenda mimi
Hajazoea kuzini zini
Kwanza kakuzidi maarifa
Mpira tisini dakika Nyavu anazitikisa aahee
Mlangoni mpaka kwa dirisha
Pindu ananipindisha
Mtoto ananifikisha aaaheee
Naa ananipa mapenzi na kunijari dia
Ya nyuma niyasahau
Naaa anamaliza
Tenzi kutwa kunisifia kwa methali na nahau
Kwingine nitake nini Ntang’angana,
Nang’ang’ania ohoo mimi
Nang’ang’ana nang’ang’ania
Sitaki madanga wa mjini
Nang’ang’ana, nang’ang’ania
Oohooo mimi Nang’ang’ana
Nang’ang’ania Aaah atake cha uvunguni
Aah atake cha uvunguni Sawa sawa
Pingili za sakafuni Sawa sawa
Michezo ya kusaka kuguni
Sawa sawa eee Tom na Jerru katuni Sawa sawa (sawa
No comments:
Post a Comment