UTATULIA LYRICS BY LAVA LAVA
verse 1
Kiangazi masika ukichanganya
vyote vikashuka kwangu vitanilemea
nitakosa pa kushika nitavavanya,
wewe ndo mwandani wangu
niliyekuzoea
mtunza vyangu visiri
kwenye kunisitiri
fundi mitambo
kinga yangu ya mwili ya mwili
silipabiri kulichoma chango
sitaki kafiri ,jangili
mwingi wa mambo
moyo kaukatili ,kondeshwa mwili
ajifanye rambo
(chorus)
si unajua dalili ya mvua mawingu
ikitaka kunyesha huwa yanatanda
nami si unajua nimeumbwa na wivu kidogo
tu presha yashuka,yapanda
niahidi kama
utatuliaaa baby
niahidi kama
utatulia mmmh..
nisibaki nikishika tama
utatuliaaa baby
niahidi kama
utatulia mmmh..
wasinibie cha ngama
verse 2
maneno yangu si bibilia wala masaafu,
tuseme husibadili mmmh
jichunge kipenzi changu
nanisikia
husicheze rafu
yatime waliotabiri
ye yeee
husijifanye ronadinho penzi utie bwebwe
utaaribu visokorokwinyo wakupitie
denge kukuharibu
kina kapa chino waka kutia wenge
kwa mizabibu
wakubongeshe mvinyo
ukaota mapembe iwe aibu
(chorus)
si unajua dalili ya mvua mawingu
ikitaka kunyesha huwa yanatanda
nami si unajua nimeumbwa na wivu kidogo
tu presha yashuka,yapanda
niahidi kama
utatuliaaa baby
niahidi kama
utatulia mmmh..
nisibaki nikishika tama
utatuliaaa baby
niahidi kama
utatulia mmmh..
wasinibie cha ngama
"UTATULIA " Track Info
Published on Jan 18, 2018
Official Video of the latest Lava Lava song
The song was a produced by Hass Bonga from
Better Sound Studio and Mixed By Lizer Classic from Wasafi Recorda
The Video was Shot and directed by Justin Campos in South Africa
Set Utatulia As A Caller Tune in Kenya:
SEND SKIZA 8542555 TO 811
No comments:
Post a Comment