FINE LYRICS BY SAFI MADIBA FT.RAYVANNY


Relax ,i got you
na nikikutouch i got it
so far i got it
she is so tiny,tiny anapita kila siku
ah mine mine

utamu wa murenda kwangu sikukuu
kichwa denda kwenye kichukuu
una marashi ya pemba
chumba karafuu
ah eh ,nikilenga nishike miguu

utamu wa murenda kwangu sikukuu
kichwa denda kwenye kichukuu
una marashi ya pemba
chumba karafuu
ah eh ,nikilenga nishike miguu


No comments:

Post a Comment