unikonyeze,
husijisongeze,
unikonyeze,
husinifanye kunizimia ukipita njia
unikonyeze
mapesa nitakuchukulia
utaninunia husijisongeze
utaiacha familia kuhihudumia
nikupoteze,
unipe nyumba gari pia
mwanamke anahitaji noti eh,
noti eh
kama huna jua itakucost eh
ata uwe kibabu siogopi eh,
siogopi,
No comments:
Post a Comment