Iwe unaniita roma au stamina
we kwama kule wanochanganya naye
sitaki kibamia e
mwanaume mashine eh
wape habari shoga zako we mimi na wewe mpaka kifo
mi ndio kaka kona wako
husisite kunipa tuzo lako
siitakupa talaka bila shaka unanifaa
acha maringo na so mi nimekupata
niliwaangusha juu ya ulingo
kali sana.kiba 100 ishakuwa kali ya mwaka
ReplyDelete