NDI NDI NDI LYRICS BY LADY JAYDEE
then ndi ndi ndi,tolly ndii
ndi ndi ndi,tolly ndii x2
verse 1
ukanipa nafasi kuendelea,na sababu ya kuamini,
unatakiwa uishi oh,bila kujali wanafikiria nini,
mhn ..sababu siangalii nyuma,na sitorudi nyuma,
fondo nura fizo so mya ,ndoto zimetimia
(chorus) ze ndi ndi ndi
(navyoroll, navyoflow, navyogrow)
tolly ndi x4
verse2
niliwezaje kutoa vyote eh ,
ilhali wewe ulinyima vyote eh ,
kama ni jipu lililovimba zaidi,
nikasahau chizi huwa haponi ,kama chozi mvuani
hatimaye kumekucha milembe nimekushusha,
na geti likifungwa,naondoka ndi ndi ndi,
(chorus)
verse 3
hatua kwa hatua ngazi nazipanda,
nayo makovu yameni imariasha,
moyo mfukoni tabasamu mdomoni ,
furaha yangu oh yaja kwanza,mambo yote
nimeyavua,oh chini nimeyatua,kikomando
(chorus)
(beautiful story in hand situation)
No comments:
Post a Comment